Nakinahi Mapema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nakinahi Mapema

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Hmaster, Sep 3, 2011.

 1. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi ni bonge la handsome na ki ukweli nakubalika kirahisi sana kwa wanawake ingawa si mtu wa kujali sana masuala ya mapenzi kwa vile ninajua madhala ya kuendekeza sana. Hata hivyo nina tatizo moja kubwa nalo ni kuachia mapema hata kwa mtu niliyempenda sana mwanzoni. Hapa namaanisha kwamba ingawa si mtu wa kubadilisha wanawake mara kwa mara lakini kwa yule atakayebahatika kukutana na mimi basi huwa tuna muda mfupi tu kabla sijamwacha. Huwa inakuwa ngumu sana kumwacha mwanamke ambaye hajakukosea jambo lakini huwa najitahidi hadi naweza na yeye kubaki kunitazama tu. Kwa kuwa sipendi hali hii hebu wadau mnipe ushauri ni vipi nidumu na demu mmoja. Nawasilisha.
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  H Master... Your opening line "Mimi ni bonge la handsome" kwa wewe mwanaume... ni tatizo... GOD! Where are Men these days... Dah!

  Hilo tatizo naona limetokana na hali ya kusema toka uko very young ulijitambua kua you are handsome - ambayo mara nyingi ni sumu ya growth in areas za Kujituma katika maisha.. Ku appreciate wanawake katika relationship... Kua intelligent (as in inaonesha ukoo soo selfish na self-centred); Hayo mambo yaweza pelekea wewe ushindwe kabisa ku perform (na research inaonesha Most wanaume handsome saaana ni wabovu kabisa - hasa kama wanajifahamu).

  Hivo basi naona hio hali yako inatokana na Ukweli kwamba unaona Uzuri wako unatosha kabisa kuweza mchengua Mwanamke... na umekuridhisha saana nafsi yako kuliko hata jinsi wanaume wengine wanaporidhika nafsi zao if they get a ride.... Hata hivo yawezekana bado tu hujampata wa kukushika maskio... Kukinai ni jadi ya most wanaume, ila tu aweza kukinai but asikuache akaendelea kukuchanganya na wengine mpaka vibe irudi...
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 8,325
  Likes Received: 5,045
  Trophy Points: 280
  naomba kuuliza
  Hiyo Avator ndio picha yako handsome man?
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Sep 3, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,329
  Likes Received: 591
  Trophy Points: 280
  Kwa kifupi...grow up first...
   
 5. Ipi dot com

  Ipi dot com JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  safi mkuu uko juu
   
 6. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,618
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  I can see, sura ya kwenye avatar yako, too handsome. Nimeishia kusoma handsome tuu, huko mbele sijaendelea najua utakuwa umeandika ki-handsome tuu.
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kazana kula ndimu au limao bila kusahau pilipili kwa wingi utaacha huu ugonjwa wa kukinai mapema
   
 8. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Yaani dah hata nimeshindwa kucomment
  Alivyoanza tuu imenikinaisha
  Mwanaume hajisifii uzuri bana jisifie utendaji wa kazi, maisha bora, mshiko, na sio uzuri wa sura
  Waachie upande wa pili wajiseme au wakuseme kuwa wewe ni handsome
  Bado kwanza hata hujajua dhana ya mapenzi na unajipenda mwenyewe na kujiona wa maana sana sio hao madem unaowapata
  Futa kwanza hiyo dhana ya kuwa wewe ni hadsome kichwani mwako
   
 9. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,428
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Utakua na alama kwenye kiganja(palmistry) utakua Broken heart...kama vip ni PM!
   
 10. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,428
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kituko ume..... anakuvutia kwa huo u-handsome wake?
   
 11. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,024
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Unajisikia uko juu ndio maana unashindwa ku appreciate wanawake unaokuwa nao, unasema hubadili wakati unakinai hivo?
  unahitaji kubadilika dunia ya leo siyo ya kubadili kila unapojisikia, mahusiano unaweza kuwa na partner wako leo unaweza kua
  mka na kujiona kama humtamani wala humpendi, unauchuna na kesho yake ukiamka yuleyule partner wako ukimwangalia
  unajiona the luckiest person kwenye dunia hii...kuwa mvumilivu
   
 12. data

  data JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 14,642
  Likes Received: 4,227
  Trophy Points: 280
  ujana ni maji ya moto.. Kwa hyo hao mabinti unaowapata ua ni ma ugly?
   
 13. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,532
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
   
 14. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #14
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  ha ha ha... Musimo jr.... My man is nothing but a MAN - In fact an Alpha Male...
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,955
  Likes Received: 5,102
  Trophy Points: 280
  another handsome. . . . Acha nipite
   
 16. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwann uulize hivyo mkuu? We lete ushauri!
   
 17. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mambo ya marehemu Shekhe Yahya hayo, sawa ntakuPM
   
 18. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante, ntajitahidi kwa kwa huyu nliye naye sasa, Rose wa kichagga.
   
 19. Yasmin

  Yasmin JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mr handsome guy!!!
   
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Sep 3, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,194
  Likes Received: 1,590
  Trophy Points: 280
  i know how to deal with ur types boy! b4 u start dating ur next gal,hook us up and i will give her a few tips za kukunyoosha for life,lol!
   
Loading...