Jaman hii imekaaje?

Steven Robert Masatu

Verified Member
Joined
Aug 7, 2009
Messages
2,472
Points
2,000

Steven Robert Masatu

Verified Member
Joined Aug 7, 2009
2,472 2,000
naombeni ushauri kwa hili suala.
huko facebook nasikia kuna groups za watu tofauti tofauti, na maanisha group within a group.
ni vikundi vya akina mama na akina baba vijana kwa vijana, wanasaidiana kwa mambo tofaut tofaut katika kutatua matatizo yao pamoja na ushauri.
sasa these days wife amekuwa busy sana na facebook mpaka imefikia stage mambo muhimu anayopaswa kufanya anamuachia dada wa kazi.
cha kushangaza ijumaa ananiambia anataka kwenda bagamoyo kuna mkutano na hao rafiki zake wa huko facebook wanakutana, na ni muhimu sana hawezi kukosa.
kidume bila kinyongo nikatoa ruhusa,leo asubuh mapema kachukua gari langu kaacha lake kaenda bagamoyo na mpaka sasa napost hii thread hajarudi.

napenda kuuliza hivi kuna nn nyuma ya hivi vikundi vya huko facebook au ni kama humu wanajf tunavyokutana maeneo tofaut tofauti.

nawasilisha.
 
mzabzab

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Messages
8,229
Points
2,000

mzabzab

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2011
8,229 2,000
yalaaaaaaaaaa!!!!! aibu tupu hapa!!! mwana ebu washa gari la mke wako na kwenda huko bagamoyo ukamchukuwe huyo wife wako....hapa hakuna jema litakalotokea!!! TENA HARAKA SANAAAAAAAAAAAAAA
 
Steven Robert Masatu

Verified Member
Joined
Aug 7, 2009
Messages
2,472
Points
2,000

Steven Robert Masatu

Verified Member
Joined Aug 7, 2009
2,472 2,000
yalaaaaaaaaaa!!!!! aibu tupu hapa!!! mwana ebu washa gari la mke wako na kwenda huko bagamoyo ukamchukuwe huyo wife wako....hapa hakuna jema litakalotokea!!! TENA HARAKA SANAAAAAAAAAAAAAA
ebu share experiance ili watu wengine nao waelewe inaweza ikaja kuwatokea na wengine zaid yangu ili wachukue tahadhari kupitia kwangu ambaye ni muathirika tayari.
 
elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
8,003
Points
2,000

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
8,003 2,000
sitaki sema kama umemegewa kwakuwa facebook yapo makundi ya maana machache lakin kwa watanzania wengi facebook ni kama danguro la kujiuza nakutafta wanawake. mimi ni member and through facebook nshapata wasichana kibao wengne wachumba za watu na wengne hata wake za watu uwa wanafcha kama wameolewa au hata wanaweka waz na still wanatoka nje ya ndoa.
its better umkalishe chini umpe somo coz fbook ishavunja ndoa na mahusiano ya wengi.
 
AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,239
Points
1,500

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,239 1,500
The one samahani kama nitakukwaza but bana post zako kuhusu huyo wife zimevuka mpaka... Hujaonesha Uanaume wako kwake... Ingekua hii ni issue ya kwanza ningesema kua ni kawaida, na kweli ni nzuri yeye kukutana na watu wengine... Sasa naona kaondoka na gari ambalo ulilinunua baada ya kung'ang'ania kwenda na lile la kwanza wakati wa ufyele... Mie nashangaa hata walalama wakati inaonesha dhahiri umemuachia huru saana katika maamuzi ambayo hua hakuhusishi wewe.... Kama umesahau kwa nini nasema hiivo angalia huu uzi wako LINKhttps://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/147680-sijui-kama-ni-kweli.html
 
Shantel

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Messages
2,021
Points
0

Shantel

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2011
2,021 0
The one samahani kama nitakukwaza but bana post zako kuhusu huyo wife zimevuka mpaka... Hujaonesha Uanaume wako kwake... Ingekua hii ni issue ya kwanza ningesema kua ni kawaida, na kweli ni nzuri yeye kukutana na watu wengine... Sasa naona kaondoka na gari ambalo ulilinunua baada ya kung'ang'ania kwenda na lile la kwanza wakati wa ufyele... Mie nashangaa hata walalama wakati inaonesha dhahiri umemuachia huru saana katika maamuzi ambayo hua hakuhusishi wewe.... Kama umesahau kwa nini nasema hiivo angalia huu uzi wako LINK
Kwa kweli nimesoma link nimekumbuka ile thread duu The One embu simama wima kuwa ngangari kwa huyo mkeo, naona kakupanda hadi kichwani, vikundi gani bana vya facebook, kama mie hata nisingethibutu kusema, labda ningeenda kimyakimya kama kweli kina umuhumu
 
AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,239
Points
1,500

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,239 1,500
Kwa kweli nimesoma link nimekumbuka ile thread duu The One embu simama wima kuwa ngangari kwa huyo mkeo, naona kakupanda hadi kichwani, vikundi gani bana vya facebook, kama mie hata nisingethibutu kusema, labda ningeenda kimyakimya kama kweli kina umuhumu

Namshangaa saana huyu kaka... He seems to be a good man but weak at heart... Leo nimepata picha i think anampenda saana the wife mpaka basi...
 
drberno

Member
Joined
Oct 2, 2010
Messages
16
Points
0

drberno

Member
Joined Oct 2, 2010
16 0
Daah,aisee pole sana..vikundi vya maana kwny facebook vinaundwa na waliofahamiana tk zamani tu either skul mates/staff mates etc lkn hawa wa kukutana tu ndani ya facebuk kaka ni umalaya tupu uliokithiri..watu washaibiwa sana wake na waume zao kwa njia hyhy uloelezea humo humo facebook kaka! Pole sana..
 
Big One

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
760
Points
195

Big One

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
760 195
kaka hapo ushatiliwa mkeo hakuna cha vikundi we ukitaka kujua ingia alafu ukute dem upload picha zake atakavyosifiwa na midume baadae number kinachofuata kumegwa na mkeo anaenda bagamoyo mbali ili usiweze kumfuatilia na majiran da pole sana
 
Mkirua

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
5,664
Points
1,225

Mkirua

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
5,664 1,225
The one samahani kama nitakukwaza but bana post zako kuhusu huyo wife zimevuka mpaka... Hujaonesha Uanaume wako kwake... Ingekua hii ni issue ya kwanza ningesema kua ni kawaida, na kweli ni nzuri yeye kukutana na watu wengine... Sasa naona kaondoka na gari ambalo ulilinunua baada ya kung'ang'ania kwenda na lile la kwanza wakati wa ufyele... Mie nashangaa hata walalama wakati inaonesha dhahiri umemuachia huru saana katika maamuzi ambayo hua hakuhusishi wewe.... Kama umesahau kwa nini nasema hiivo angalia huu uzi wako LINK
Huyu samaki alitakiwa akunjwe angali mbichi sasa keshaakauka...
Ila kina dada pia muwe na huruma haswa unapopata mr Yes madam maana wengi wenu hujikuta mnamnyanyasa mwanaume kisa upole au uhuru anaokupa... Tatizo la wanaume wa dizaini hii akisema basi hata lije greda huwa hawageuki nyuma.
 
AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,239
Points
1,500

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,239 1,500
Huyu samaki alitakiwa akunjwe angali mbichi sasa keshaakauka...
Ila kina dada pia muwe na huruma haswa unapopata mr Yes madam maana wengi wenu hujikuta mnamnyanyasa mwanaume kisa upole au uhuru anaokupa... Tatizo la wanaume wa dizaini hii akisema basi hata lije greda huwa hawageuki nyuma.

Mkirua... kwa jinsi nilivomsoma (thou naweza kua nimekosea) mke wa The one, nikua hamuheshimu kabisa mumewe na wala hajali his welfare kama aweza chukizwa au lah! Hii issue ni cha mtoto compared to the last one, But sasa IMO naona kama wanaelekea kubaya... Na sio wanawake woote huchukulia advantage in a negative way akipata mume ambae ni mpole na anakubali lolote...
 
feis buku

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2011
Messages
2,370
Points
0

feis buku

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2011
2,370 0
Feisi buku!!!! Kazi unayo!!mbona mm vikundi vyangu ni vya umbea na majungu na wala mume wangu hajanikataza!!!! Aaah achana nae bana mpe uhuru afanya mambo yake!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Bucad

Senior Member
Joined
Aug 15, 2011
Messages
120
Points
0

Bucad

Senior Member
Joined Aug 15, 2011
120 0
Kiukweli face book imewa-mislead wabongo wengi kwani wamejikuta wakiitumia vibaya na halitokuwa jambo la kheri kama bado unafikiria kuwa mkeo yupo salama anza kuchukua hatua angalau hata kwa kuchunguza.
 
Forum statistics

Threads 1,352,651
Members 518,177
Posts 33,065,288
Top