Re: My husband

IGWE

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Messages
9,016
Points
2,000

IGWE

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2011
9,016 2,000
Salaam!..
Nilicheat na mdada mzuri na mwenye uelewa kwa vigezo vyangu anyway_na hii ilikua wiki iliyopita,...sasa juzi kanipigia cm nimpitie ofisini kwake(ana duka la vipodozi).tukaenda sehemu kupata 1 moto 1 baridi ingawa yeye hatumii kileo,..akanipa simu yake eti nimshikie mpaka tutakapoagana.

Sasa ndipo nikaanza kuipekechua kuangalia kilichomo ingawa kwa uangalifu mkubwa asije akajua nafanya nini?...haa!..nikajagundua amenisevu eti "my husband",.....mmmmh!..sijamuuliza ingawa nimeshangaa kidogo kwani,anajua fika nina mpnz wangu ninayempenda ingawa nimemcheat.

My take:Je_hii ndio stail mpya badala ya ile ya baby,sweet,honey etc......au kuna maana ingine nyuma ya pazia?

Nb:msiniulize kwanini sijamuuliza
 
Vin Diesel

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Messages
9,031
Points
2,000

Vin Diesel

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2011
9,031 2,000

simple...alikupa simu ili uone jinsi alivyokusave...amka.
 
bht

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Messages
10,338
Points
1,250

bht

JF-Expert Member
Joined May 14, 2009
10,338 1,250
pole ya dhati kwa yule unayemdanganya kuwa ndo mpenzi wako 'unayempenda kwa dhati'
 
bht

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Messages
10,338
Points
1,250

bht

JF-Expert Member
Joined May 14, 2009
10,338 1,250
watu wana upec eehh...hamna week kwenye relation tayari mnabatizana majina...kazi ipo.
<br />
<br />

Mae kwani wewe umeelewa ni mahusiano gani? Si kajisemea mwenyewe ni ya kuchiti na aliyechiti naye anajua jamaa bado ana mtu wake ....
 
Forum statistics

Threads 1,382,454
Members 526,380
Posts 33,828,595
Top