Na hiyo ni kwa jinsia zote.
Na je,ni kweli mapenzi ni uchafu na hivyo inafaa kuvumilia uchafu, harufu mbaya na kali ya mpenzi wako hasa wakati wa kunyanduana?
Mungu Ibariki Tanzania.
Ndugu zangu.
Niseme wazi leo kuwa huu ni waraka wangu wa mwisho na nikikataliwa itakuwa mwisho wa kushusha nyuzi kwa walimbwende wa humu.
Toka naingia jamvini mnamo 2021 nilitokea kumwelewa...
Kulikoni mnasahau kusafisha mfreji wa kwenye vijambizi vyenu?
Vijambizi vinatoa harufu kali na mbaya sana inayodhoofisha hamu ya kunyanduana.
Yaani ukibinuka tu na kujaribu kutanua sundrudru...
Mwaka ule ule napata connection ya kisanga cha Mnyarwanda kabla ya hapo nawaleta kati
Katika Uzi uliopita niliiongelea Vietbam nikasema itakuwa story ya siku ngingine
Kifupi Vietnam nimeenda...
Kosa kubwa zaidi ambalo mwanaume anaweza kufanya katika ulimwengu wa leo siyo kufeli kibiashara, bali ni kumkaribisha mwanamke anayekuja kuharibu amani yake ya ndani. Maisha ya mwanaume ni uwanja...
Angalizo: andiko hili linaweza kuwa na lugha ngumu na Kali. Hivyo kama wewe sio mpenzi, unahasira, au ukisikia lugha ngumu unakereka, unapoteza furaha, unahisi kudhalilika au kupoteza heshima...
Vuna ila usisahau mbegu ya kupanda msimu ujao uvune tena
Uwa silewi ila nilienda club na wana wanaopiga mitungi wana wanalewa mimi nawapa tag wa kuwachek wasizingue wakizubaa natoka club , nje...
Salaam/shaloom
Mwanangu mmoja aliniomba nimsindikize pahala fulani so tukafika akanambia tuingie ndani tukaingia tukakalibishwa misosi mingi baada yake joto kali nikaomba nitoke nje nipunge upepo...
Hey everyone!
Iam from Dar . I make a living selling coffee, so naturally I’m always looking for someone who can appreciate a good cup and have a conversation about it.
I’m single, a little...
Nilikuwa nimemwelewa single mother flani yupo tunduma, so mara kazaa nilikuwa napita mtaani kwake karibu na ofisi yake anakojumlisha viazi .
Ukizingatia umri wangu umeenda soon naikuta 40, umri...
Chozi ama machozi ni ishara ya kuumia na maumivu yaliyoshindwa kuhimili hisia za kawaida za kibinadamu... Wanawake ni mabingwa kwenye hili. Wanaume huchukuliwa Kama shupavu wasiotoa machozi yao...
Wadau nimekuja kwenu nikiomba msaada wa hali na mali
1.Anataka nimsaidie kupika
2.Anataka nimsaidie kufua
3.Anataka niwahi kurudi home
4.Ananidharau eti kwa vile sijui kufunga kitanda...
Unapoingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyekuzidi sana umri, fedha, au uzoefu wa maisha, wengi huona tu miili miwili ikikutana au akaunti ya benki ikiongezeka. Lakini katika...
Kumekuwa na trend ambayo inasambaa sana kwenye mitandao ya kijamii watu wakipost picha zao walizo edit kwa Akili bandia (AI) zikiwaonyesha wakiwa miaka ya 80's .
Shida haijaanza leo, bali...
Wakuu
Katika mihangaiko yangu, nimejikuta nimepita kwenye kijiwe nongwa kimoja. Kimekolea! Watu wamekaa wamezunguka, kila mmoja ameshikilia upande wake, na mjadala uliokuwa unaendelea ulikuwa...
Wanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa...
Kuna tofauti kubwa ya kuishi kama mume na mke, kuishi kama wanandoa na kuishi kwenye ndoa
Ukaribu
Kushare hisia njema na mbaya
Kushare fikra na matamanio binafsi, ndoto na maono
Uaminifu
Upendo...
Wana JF mie sina mengi ya kusema ila nina jambo moja tu la kusema kwenu. Ugumu huu wa maisha na kushindwa kwa mipango mbalimbali ambayo tunaipanga na kuifanyia kazi hapa duniani ni majibu tosha...
Preamble: For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.