Waziri Mayai Wa Maradhi
JF-Expert Member
- Jan 28, 2026
- 307
- 82
Wazazi, mtoto wako wa kiume akikueleza wenzake wanamcheka kwa kua yeye bado hajawahi kufanya tendo la ndoa, utamsaidiaje?
NduguTendo la ndoa aliingia aje ndoani hajajipanga ?? Kujipanga ni pamoja na kuutembeza udyudyu
Balaaa hapoNdugu
Huoni ndio mwanzo wa mtoto kumzaa MTOTO
Sio sahihi kwa maadili ya kitanzaniaKwa akili zangu nitamwambia hakuna tatizo lakini nitamtafuta binti nimpime magonjwa kisha nimpe kazi ya kwenda kumpa utramu kijana wangu..!!
Akishaonja yeye mwenyewe ataendelea kutafuta wengine kwa muda wake..!!
Kwahiyo ni sahihi yeye kukaa bila kuonjapo? 😹Sio sahihi kwa maadili ya kitanzania
Mtoto wa 14-19 usimfundishe uraibuKwahiyo ni sahihi yeye kukaa bila kuonjapo? 😹
Sasa huo uraibu au ni wajibu wake?Mtoto wa 14-19 usimfundishe uraibu
Masikitiko makubwa.Sasa huo uraibu au ni wajibu wake?
Kwahiyo unataka aanze kutamani wanaume wenzie?
Huo ndio umri sahihi wa mtoto wa kiume kuanza harakati za kuwinda vyupi..!!
😹😹😹 Tutalea tu shida hakuna..!!Masikitiko makubwa.
Ngoja akuletee unwanted pregnancy ☺️
Ngoja na Mimi nichukue Jimbo lakoo😁😹😹😹 Tutalea tu shida hakuna..!!
Jimbo Lina upinzani mkali hili..!! 😹Ngoja na Mimi nichukue Jimbo lakoo😁