Hautaki tuje kupata mashahidi wengine wa kesi za uhaini wa miaka ya mbele mkuu?Uzao wa kwetu unaishia kwangu tuh.watoto kwangu hawana faida.nasitaki kuwa na mchumba lazima nife na usela wangu.
Jitahidi Ufanye Jambo Unalosema Linatia Mashaka SanaUzao wa kwetu unaishia kwangu tuh.watoto kwangu hawana faida.nasitaki kuwa na mchumba lazima nife na usela wangu.
Atakuwa Kajiunga Kile Kikundi Cha HovyoShida nini Tena
Nayo ni sifa? Pumbavuuuu!Uzao wa kwetu unaishia kwangu tuh.watoto kwangu hawana faida.nasitaki kuwa na mchumba lazima nife na usela wangu.
Wote tunajua kuwa huna nyeg* kama alivyo kaka yako ElevennUzao wa kwetu unaishia kwangu tuh.watoto kwangu hawana faida.nasitaki kuwa na mchumba lazima nife na usela wangu.
😀Hongera nakupa na zawadi
😂Kwa hapa Tanzania kama hutaki watoto funga zipu kabisa. Wanawake wa nchi hii wanazaa, ukigonga tu mimba
Hawa jamaa kwa pombe ni hatariJitahidi Ufanye Jambo Unalosema Linatia Mashaka Sana
Rombo Kule Serikali Ililazimika Kuingilia Kati
Shule Za Msingi Zilikosa Wanafunzi Kisa Watu Hawashughuliki Hasa Wanaume Pombe Tu