Wanawake Wa Kikenya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake Wa Kikenya!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by SHERRIF ARPAIO, Jan 25, 2011.

 1. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Jamani katika pitapita zangu nimekutana na kimwana mkenya, mwenye asili ya hukoo Nyanza.

  Tumeanza ku-date kama miezi 6 iliyopita.

  Ni mzuri wa sura na tabia yake so far ni poa. Mcha Mungu kiasi na shule kichwani imetulia, na ana career.

  Kiswahili ndio hicho hicho cha kuvunjavunja.

  Kwa kifupi so far tume-click! Kila siku naona hapa jamvini sifa za wanawake mara wa Kirangi, Kichaga sijui Wahaya and so on.

  Nahitaji kujua sifa za hawa wadada toka Kenya.

  Najua wengi wenu mmeshakumbana nao na mnawajua sifa na tabia zao.

  Nahitaji kujua wasifu wao ili nijue kabla sijafika nae mbali huyu demu wa baba Moi ili nijue kama kusuka ama kunyoa.

  Natanguliza shukran zangu!!
   
 2. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  wengi wako kibiashara zaidi nikimaanisha wanapenda pesa zaidi ya penzi .
  Niwasaliti kwa wakati wake,
  Mengine sjui
   
 3. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  ahsante kwa hilo. I'll be keeping that in mind
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ni mjaluo au mkikuyu?
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Tabia ya mtu mara nyingi huwezi kuigeneralize lakini kwa ujumla wengi ni wasomi na wako open tatizo ni kuwa ni wachache wenye mapenzi ya kweli wanapenda sana pesa kuliko chochote hata wazazi wao. Ni wachapa kazi kama wakihisi kuna cha juu.

  Wengine kudumu katika mahusiano muda mrefu ni ngumu na wanapenda sana kuwa na wanaume kabila lao. Nimeishi nao muda kama miaka sita sasa lakini narudia tena tabia ni ngumu kuigeneralize!
   
 6. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Umekaa naye miezi 6 bado hujajuwa tabia yake ? Hamna tabia ya kabila au taifa tabia ni ya mtu kama mume click na so far hujaona tatizo basi endelea,wewe ndio muamuzi wa mwisho hapa utapata porojo tu.
   
 7. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ni maliberal sana
  wana swaga za kizungu
  SI WATII si wapole ni wako juu juu mchek mama yao lucy kibak na weng wao wapo ivoo wanazngatia sana beijing..NDO MANA WANAUME WA KENYA WANAHA HAA kutafuta BIBI WA KITANZANIA wanasema wana huruma sana na wanawake watii kwa waume zao na wana uruma pasipo kuweka pesa mbele km wanawake zao wa kenya

  kuachana kwao si issue...thy r indpndt by nature swaga za kubembeleza kwao akuna...
  ule upuuzi mnaoufanya kwetu wanawake wa tz kwao hawana muda wa kukuangalia tu ukimfanya yeye km mjinga ..ACTION ON DUE IS CRUCIAL ..wanasemaga ivo..
  ongea na wanaume wa kenya wakwambie..wao wanakuja tz au wakisikia wewe ni mtz km mpo nje basi utakoma maombi yanakuwa meeng kutoka kwa wakenya cz wanajua varangat lililopo uko knya

  thk twice tuzingatie kipengele cha uwez kugeneralize tabia everone has gt own.
   
 8. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Nashukuru kwa mchango wako
   
 9. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hapo mkuu umeniacha hoi!
  Kwa hiyo kama usawa ukiisha basi nimekwisha?
   
 10. T

  Topical JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hawana shida yeyote ile wewe ishi naye acha ukabila na ubaguzi wewe

  Binadamu wote ni sawa, kuna wazuri na wabaya katika kila jamii ok on equal scale

  Judge her not where she comes from?
   
 11. Nyuki

  Nyuki JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Talk to your heart first
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  mkuu hapo ndio penyewe kama umeridhika napo we kanyaga twende kila mtu ana tabia zake hapa duniani
   
 13. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  I hope you will take a sip of your own medicine... ninavyokujua wewe????, hivi nikichumbia dada yako utanipa baraka??? au kwanza utasema nibadilishe dini?
   
 14. T

  Topical JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Really, kwanza kama siyo dini yetu hawezi kukubali for sure I can bet?

  Pili ikitokea ntabariki bila shida mkuu, si kwamba sinta mshauri akubadili dini nitamshauri tena sana

  Ikishindikana sintakuwa na kinyongo ok.
   
 15. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Huwa wananipenda mimi tu, huyo hakufai,,, nipe mawasiliano yake.
   
 16. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Sasa badala ya kumshauri mkuu aache ubaguzi binadamu wote ni sawa kwanini usimshauri dada yako aache ubaguzi?, tena bora yeye mmoja ni mkenya sisi wote ni watanzania.....
   
 17. T

  Topical JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Huo sio ubaguzi, huwezi kumwacha ndugu yako atoke kwenye uongofu aende kwenye giza bila kumshauri (wajibu) siyo kumlazimisha

  Maana kutoka kwenye kumuabudu Mwenyezi Mungu moja hadi kuabudu sanamu ya yesu, mama yake yes (mama wa mungu) ni mwisho mbaya

  Lakini akihiari aka insist hatuna ..no problem
   
 18. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #18
  Jan 25, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hawajui kupika kwa hiyo jiandae kulishwa SUKUMA WIKI kutwa mara tatu kama dozi hadi ukome!
  99% wa wanawake wooote wa kikenya wametahiriwa hivyo jiandae kwa mapenzi butu!
  Ni wababaikaji sana na ni maharage ya Mbeya.... hasa akimwona hata rafiki yako ni handsome na anazo fweza unaweza kumegewa kiulainiiiiiiiiii
  Wengi wao huku ughaibuni (US) wanawahusudu sana wanaume wa kibongo.
  Wengi wao pia ni washamba lakini wanajiona much-know.
  Hawajui kupiga pamba kama mademu wa kibongo.
  Kama mchangiaji huko juu alivotonya, wanapenda sana ndoa na watu wa makabila yao kwa hiyo kukutosa akipata wa kabila yake kwao sio issue.
  Kazi kwako
   
 19. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #19
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  kaka we unawajua!
   
 20. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #20
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  ahahahahhah kweli jf kuna watu na viatu ..sasa wewe chagua sehemu yako mwenyewe:):):car:
   
Loading...