Diwani
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,903
- 3,139
TULIOOA
Watu wengi, hususan Wanaume waliozingua kwenye ndoa zao wana brag sana kuhusu uzuri wa ndoa, kama ulioa na clear purpose, huwezi kuwa unajieleza sana kuhusu maamuzi yako. Kama ndivyo, umezingua so unajaribu ku justify maamuzi yako kwa kuyapaka rangi yaonekane mema. Tuliooa kwa akili timamu bila pressure ya watu wengine tuna uhakika na maamuzi yetu, hatuhitaji ku brag, kuoa ni wito, sio ushauri. So kama umezingua kausha.
Wengine wana dharau ambao hawajaoa eti hawawezi kuongea nae ya maana kwenye maisha, usichojua ni kuwa,; ndoa sio access ya HEKIMA YA NDOA, ingekuwa hivyo zisingekuwa zinavunjika kwa sababu ya hekima uliyoipata baada ya kuoa, wangapi wanaoana viazi?
WALIOKOSEA MAAMUZI YA KIFEDHA
Kama kuna wakati uliwahi kushika fedha, na kwa sababu ya ufinyu wa hekima na maarifa, ukaichezea; tuliza akili. Usianze kujifariji kwamba ulizikamata, mara utishe watu kwamba wanavyomiliki, na waliyokuzidi ni mambo ya kawaida, hapana si ya KAWAIDA!! Usijisifu hali ngumu uliyowahi kupitia, umasikini sio sifa, usijisifu kwamba kuna wakati ulikuwa Mkwasi, na hushangazwi wala kutamanishwa na maisha ya wengine, usipende kuudanganya moyo, utazidi kuumia tukuzike siku si zako kwa msongo wa mawazo, presha na sukari. Kubali matokeo jipangilie upya.
REGARDS