Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Myna | 23 | Creative Designer 🎨📝 Kazi yangu kila siku inahusisha ubunifu, mpangilio mzuri wa kazi za stationery, na kuleta mawazo mapya kwenye uhalisia. Nje ya kazi, mimi ni msichana mtulivu...
1 Reactions
13 Replies
133 Views
Yaani mtoto wa kinyaki Amenye ananichanganya sana wakuu kuna kipindi nahisi kama nimelishwa limbwata vile ana shepu nzuri sana makalio yanayovutia ana rangi nyeusi ya kupendeza kimo chake ni futi...
17 Reactions
81 Replies
1K Views
Huku Mamsi zipo au miyeyusho?
0 Reactions
4 Replies
42 Views
Anaandika, Robert Heriel Mambo ya kubembelezana hakuna hapa. Kwanza muda mchache na maisha mafupi huo muda wa kubembelezana tutautoa wapi. Kama hawezi kukugharamia piga chini. Usiwe na jicho la...
11 Reactions
60 Replies
5K Views
Sifa za wadada wa Kichaga: Wabahili wa uchi Wabinafsi Shoo zao mbovu Hawajui kupenda Wanafiki Wanathamini hela kuliko utu Hawana heshima Wapo unromantic Wanadharau Wanapenda kupewa kipaumbele...
9 Reactions
28 Replies
281 Views
Shikamooni wote. Jamani uswahilini mbona kuna mambo ya ajabu hivi?!! Jana nilikua kwa Muha wangu na mojawapo ya vitu nilifanya pale kwake ni kufua wakati yeye yuko kazini. Kwa vile nyumba ina...
15 Reactions
76 Replies
3K Views
Kuna Kampuni Moja ya Mtu Binafsi, ni Kampuni kubwa sana kwa bahati mbaya Mwenye Kampuni alifariki, kipindi cha uhai wa mwenye Kampuni kama wafanyakazi na wageni walikuwa wakipatiwa bure Kahawa...
10 Reactions
42 Replies
439 Views
HADITHI TAMU SANA YENYE MAFUNZO MAKUBWA! NAJUTA KUMPELELEZA MCHUMBA WANGU FACEBOOK 1 SEHEMU YA KWANZA “NAPOKEA FRIEND REQUEST” Ilikuwa Jumapili nikiwa nimetoka ibadani nimetulia tu kitandani...
0 Reactions
5 Replies
257 Views
Jamiinimetushape kwamba ndoa ni kitu cha lazima sana vinginevyo hamna urafiki,mapenzi au mahusiano ya namna yoyote kati ya me na ke Na hii ndo inasababisha ndoa nyingi kuwa za hovyo kuliko...
48 Reactions
323 Replies
5K Views
Hawa si wengine bali ni mitume na manabii wa uongo (sio wote, namaanisha mitume na manabii wa uongo) Utawambuaje? Hawatoi bali wanapokea Hawafuati bali wanafuatwa Hawachangi bali wanachangiwa...
62 Reactions
236 Replies
38K Views
Japo mimi ni mpenzi wa black beuty lakini siku hizi manzi zinachanganya sana unaweza chukua manzi baada ya miezi kadhaa imebadirika rangi waweza jua jini kakutokea kumbe mchina kafanya yake...
12 Reactions
50 Replies
731 Views
Nimekuwa nikisikia sana mitaani toka kwa watu mbalimbali kuwa sio poa kudate na mwanamke anayejilipia geto na kuishi kwa kipato chake binafsi, vipi naomba mniambie huwa ni kwanini? Wana...
2 Reactions
7 Replies
125 Views
Lakini kukosa ata mtu wakugegeda, hiyo inauma kinoma
4 Reactions
17 Replies
234 Views
Nipo Arusha kikazi nahitaj rafiki aliyopo Arusha kwa ajili ya kunihost na kuwa mwenyeji wangu na kuenjoy a lil bit,akiwa wa kike itapendeza zaidi.
2 Reactions
6 Replies
90 Views
Kuna viio vingi sana kwa wanawake kushindwa kudumu katika mahusiano,kushindwa kuolewa,na kushindwa kuzaa. kushindwa kuolewa na kudumu katika mahusiano yaweza kusababishwa na mambo mengine pia...
3 Reactions
11 Replies
175 Views
Haiwezekani!
5 Reactions
16 Replies
431 Views
Adam hakuzaliwa bali aliumbwa.. Hii ni kwa mujibu wa misahafu ya baadhi ya dini.... Eva naye hakuzaliwa bali ilikuwa ni kama kitu leo hii tunaita cloning.... Lakini cha ajabu hakutokea kama...
6 Reactions
124 Replies
20K Views
Sisi tunapenda hela, hatupendi tunajifanya tunakupenda ila kiundani hatuna mapenzi nawe kabisa. Tunapenda hela sasa
15 Reactions
318 Replies
2K Views
Uzi maalumu wa visa tulivyo wahi kufanyiwa na wake zetu wawapo wajawazito,ambavyo baada ya kujifungua havitokei. Na wewe mama,ulipokuwa mjamzito, uliwahi kumfanyia kisa gani mumeo mpaka leo...
9 Reactions
74 Replies
1K Views
Ni kitu chenye nguvu sana Kimeharibu, na kinaendelea kuharibu maisha ya watu wengi. i'm done
1 Reactions
7 Replies
100 Views
Back
Top Bottom