Hello
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38.Natafuta make wa kuoa mwenye umri kuanzia miaka 30 nakuendelea.kazi nimejiajiri mwenyewe,Naishi mwanza,ni mkristu nilieokoka.
Mwanamke Ambaye yupo...
Yani mm kila nnapokuwa nyumban ama hata nikawasiliana na wazazi wangu. neno mwali unaleta nn ndio imekuwa kama salamu.hata saiv sina taimu nao maana...
Salute mates...
Kwenye mizunguko yetu ya maisha kuna wakati unakua upo very attached na mtu Fulani either ni rafiki wa kawaida kama Man to man au Man to woman, pengine ni mpenzi wako umpendae...
Wataalamu wanasema, kuwa na marafiki wengi wa kike ni sawa na kufuga kuku wengi bandani, pale unapohisi njaa unamkata kuku mmojawapo, unachinja na kumla.
Ingawa changamoto yao, ya kuwa nao wengi...
Kuna tofauti kati ya kwa wanadamu wenye maumbile na jinsia ya kike, na kuwa mwanamke mwenye sifa, tabia, mtazamo na utayari wa kuingia katika maisha ya ndoa.
Watu wengi wamekuwa na tabia ya...
Harakati za kutuma posa zipo mbioni na mshenga wangu SECRETARY BIRD yupo mbioni kuhakisha ndoa hiyo itafanikiwa.
na sheikh wetu min -me naye atakuwepo kufungisha ndoa iwapo itafanikiwa.
Habari za siku nyingi wakubwa wangu wa kazi! Nimepita pita kwa wanawake wauza bar na karibu wote niliowapitia huwa nawakuta wamevaa shanga kiunoni. Hivi kuna uhusiano gani kati ya kuvaa shanga na...
Eti wadada, kuna ukweli kwamba jamii yetu bado iko na dhana ya kumuona mwanamke muhuni pale anapoomba tendo la ndoa hata kama ni haki yake akiwa ndani ya ndoa!? Wewe ni lini mara ya mwisho umeomba...
Binafsi sioni sababu ya kuuza wala kununua k
Mapenzi ya sikuhizi yamekuwa biashara ukimuaproach mdada anaangalia kwanza unanini na atafaidikaje akikupa ûnachotaka bila kujali kuwa ile ni raha...
Wanaume wenzangu malalamiko dhidi ya wanawake ni mengi sana humu jamvini, hasa usaliti nini kifanyike?
Nyuzi za wanawake kulalama dhidi yetu ni chache sana, wanaume wenzangu hawa viumbe...
Hivi mtu Ulisikia neno ngono, nini cha kujia kichwani.....
Wengi husema ni kufanya tendo la ndoa, bila ya Koa au kuolewa sio?
Ni umalaya, ni kuharibu utaratibu, kuchepuka, uzinzi
Ngono imekuwa...
NItasema kweli daima.
Maisha ya u singo maza sio maisha.
Uwe tajiri uwe masikini sio maisha.
Najitahidi sana kuwa mke mwema ila naona haitoshi kwa mwanaume huyu aliyenitoa katika yale maisha...
Kuna dada wa mgahawa X huwa anapenda sana kunichangamkia ila jana ndo nilijua ya kuwa ameshindlia wezele.. Aisee ana mkia, her butty is on another level...
Jana kavaa dera flani hivi matata, alaf...
Utengano au talaka kati ya wazazi mara nyingi huacha majeraha makubwa, lakini waathirika wakuu katika migogoro hii huwa ni watoto.
Leo tuangazie uamuzi muhimu sana wa Mahakama Kuu ya Tanzania...
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana...
Katika maisha kila mtu Huwa na motives na matarajio ili kufanya maisha yake yawe apealing(mazuri)
Ni sawa kabisa maana maisha bila kusudi au lengo hubaki tupu.
Ila wengi wetu huwa na matarajio...
Nimemfanya mke wangu kuwa kama rafiki, muda wote tukionana ni kucheka, kutaniana, kucheza michezo ya kukimbizana hapa na pale.
Na kuna wakati mwingine ananitania, ''nikutafutie demu mkali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.