R Red-me JF-Expert Member Joined Jun 26, 2026 Posts 453 Reaction score 973 Aug 11, 2026 #1 Kataa ndoa hawana stress daima hawateseki wao ni bata tuh.ila ndoa ni utapeli tuh hamna jipya #tagg kataa ndoa daima!!
Kataa ndoa hawana stress daima hawateseki wao ni bata tuh.ila ndoa ni utapeli tuh hamna jipya #tagg kataa ndoa daima!!
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,302 Reaction score 14,620 Aug 11, 2026 #2 Siwapingi ila wengi ni wanachama wa CHAPUTA
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,634 Reaction score 112,473 Aug 11, 2026 #3 Kweli kabisha mkuu, ndio maana RC ameagiza silaha zote zinazo milikiwa nyuma ya utaratibu zikasalimishwe milembe kabla ya may 2026
Kweli kabisha mkuu, ndio maana RC ameagiza silaha zote zinazo milikiwa nyuma ya utaratibu zikasalimishwe milembe kabla ya may 2026