Zamani ilikua ni kawaida sana kukuta mwanaume anateseka na kuumia kwa wakati mmoja kisa mwanamke. Wengi walikua wanateswa na ule ulimbukeni na ushamba wa wanawake – mwanaume akipenda, anapenda...
Mimi nilipoteza ubikira wangu kwa kahaba... Inasikitisha sana lakini ndo ukweli wenyewe.
Nakumbuka kipindi hicho tulipokuwa shule ya sekondari. Ikifika mida ya saa mbili usiku rafiki yangu...
Kisa hiki ni cha kweli kilinitokea nikiwa safarini kuelekea shuleni.
Hadi namaliza masomo yangu ya O-level sikuwa nimewahi kusikia shule inayoitwa Ihungo ambayo ndiyo hiyo niliyochaguliwa...
Hiyo ndo principle mating demand ATP. Ukimtongoza mwanamke akakukubali haraka jua kuna kitu hakipo sawa either una kimojawapo kati ya hivi
1.Una pesa
2.Mfanyakazi
3.Kastaafu umalaya anatafuta...
Yale ya juzi tuliongea na tukayamaliza baada ya kuzingatia ushauri wenu.
Sasa leo huyu mchudenga wangu amekuja na kubwa akisema kwamba..... anashida kubwa na mimi.
Mie nikamjibu kwa upole na...
(BASED ON A TRUE STORY)
Portion 1
Kuna baadhi ya matukio nikiyakumbuka mpaka leo najiona nilikuwa bonge la mpuuzi. Na naamini kabisa kama ingewezekana huyu mimi wa sasa kukutana na mimi wa miaka...
Naomba niweke wazi hili mapema. Nahitaji mwanamke ambaye atakuwa mchumba wangu kwa miezi minne. Mi nakuja Tz mwezi wa 10 katikati. So hapo tutaonana live.
Nitakuwepo Tz mpaka mwisho wa January...
Yaani kwa tathimi yangu niliyoiona kuna wanawake wengi sana mpaka nimebaki najiuliza sasa wanaishije,kila nikitoka inje ni wanawake tu, si wamama,vibiti,na vitoto vya kike,
Tofauti na mkoani...
Mahali popote ukikuta wanaume wanajali mwanamke wa kuoa kama mwanamke ni bikira au single mother basi utakuta na wanaume masikini, wa kawaida(average/ beta males) au wa Bara.
Ni nadra kukuta...
Baada ya kuachana na manzi ex wangu, nilijikuta na fall in love na manzi mmoja wa mtaani..
Tulikuwa tunapishana mara kwa mara, mtaani sa siku moja usiku tulikutana kiyepe point, so siku ile...
Kuna nafasi nzuri sana ya kujifunza mambo mengi katika ndoa. Wanandoa unatakiwa kuwa tayari kujifunza.
Ndoa haiwezi kuimarika endapo kila mmoja kati ya wanandoa atang'ang'ania kubaki na misimamo...
Sikiliza, moja ya sifa ya mwanamke ni wana hisia sana kuliko wanaume.
Nikisema neno hisia linamaana pana sana unapaswa kufikiri kwa kina.
Intuition, beauty, mwanamke ndio chanzo cha uzuri ndani ya...
Ipo hivi jamaa yangu anaishi na mke ambaye tayari Wamejaaliwa kupata watoto wawili ,sasa anasema mwaka jana waliingia kwenye mgogoro mkubwa baada ya kugundua mke wake alikuwa akimsaliti japo huo...
Habari Wana JamiiForums.
Mimi ni kijana mwenye miaka 30 kuna mambo ya kimahusiano yanayonisibu Kwa sasa nadhani yapo nje ya uwezo wangu kama sitapata mshauri mzuri ninaweza nikaenda mlama kama...
Unaweza kuchukulia poa huu msemo
Labda ukaona umekaa secular sana
Ila mwanamke yoyote alie katika household ambayo kuna ukata mara nyingi ni mtu wa kuvuta vuta mdomo sana, alafu itokee bwana ake...
Mtandaoni wana-hubiri fedha ila ukija kwenye maisha ya kawaida mambo ni tofauti sana
👇👇👇
Ukienda uswahilini utashangaa watu wanamaisha magumu na bado wake zao hawawakimbii ukija mtandaoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.