Usiku wa Bongo Flava umeniharibia maisha

Usiku wa Bongo Flava umeniharibia maisha

Joined
May 22, 2026
Posts
49
Reaction score
99
Hongereni wanasimba kwa pira zuri hakika mmeonesha mwanzo mzurii.

Aisee jana baada ya mechi kuisha nilikaa nisikilizie Usiku wa Bongo fleva. Nikaagiza kinywaji ili nivutie muda. Nikapiga konyagi ya kati na bia 3. Nilipata vaibu kinoma. Pembeni alikuwepo mdada fulani anacheza si nikajichanganya aisee hawa hawahitaji pesa ili mradi tu bia 1.

Ilipotimu saa7 huyu dada kanambia nisiende nyumbani wife ataleta noma. Basi nikakubali kwenda ghetoni kwake. Nimefika nikavua nguo vizuri cha ajabu uume hausimami. Shika shika awapi, ikabidi tulani kwanza. Ilipotimu saa8 nikamwamsha mara hii mnara ulikuwa imara nikavaa ndomu.

Nikaanza kuhangaika naye. Ghafla nikasikia imepasuka aisee alinikata stimu hapo hapo. Sasa wataalamu nipo hapa kuomba ushauri je, nitakuwa nimeukwaa?
 
Hehehe
Kwanini usihisi kuwa wewe ndie umemuambukiza mwenzako??
KAPIME
1770012404872.jpg
 
Hongereni wanasimba kwa pira zuri hakika mmeonesha mwanzo mzurii. Aisee jana baada ya mechi kuisha nilikaa nisikilizie Usiku wa Bongo fleva. Nikaagiza kinywaji ili nivutie muda. Nikapiga konyagi ya kati na bia 3. Nilipata vaibu kinoma. Pembeni alikuwepo malaya fulani anacheza si nikajichanganya aisee hawa hawahitaji pesa ili mradi tu bia 1. Ilipotimu saa7 huyu malaya kanambia nisiende nyumbani wife ataleta noma. Basi nikakubali kwenda ghetoni kwake. Nimefika nikavua nguo vizuri cha ajabu uume hausimami. Shika shika awapi, ikabidi tulani kwanza. Ilipotimu saa8 nikamwamsha mara hii mnara ulikuwa imara nikavaa ndomu. Nikaanza kuhangaika naye. Ghafla nikasikia imepasuka aisee alinikata stimu hapo hapo. Sasa wataalamu nipo hapa kuomba ushauri je, nitakuwa nimeukwaa?
Ndio tayari, kwisha wewe
 
Yeye atakuwa ameukwaa kutoka kwako.
 
Wasiwasi upo maana nimeoa najisikia vibaya sana wife anaponiomba mechi
Hao Malaya ukikuta mwenye akili anajilinda zaid ya hata hao ambao wana tembea na ma X zao.

Ww kuwa na amani mzee.

Kwanza hii sio mara ya kwanza Kupiga peku nje. Tofaut ni huyo Mwanamke umemuokota bar.
na sio kila mwanamke wa bar ameukwaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom