Mlio oa je hii ni kweli?

Mlio oa je hii ni kweli?

G

guest-1787677467

Guest
Mlio owa Kuna Nini huko tuambieni mapema wakuu mana sio wakwanza huyu niwengi wakisha owa Wana Anza kuzeeka na kukonda tuambieni shida hua Nini huko
1786563210470.jpg
 
Tuhame tu my g
Sisi wenye vision bora tuzipeleke ugaibuni tuu

Wamatumbi hawana jema

Jux kaanza kula maisha wanasema kakonda.. Hii nchi wachawi ni sisi wenyewe
Sawa tuhamie ugaibuni kijana mdogo😊
 
3 nomination afrima alafu jamaa alaf yuko shape?
 
Back
Top Bottom