Mimi napenda mwanamke awe na sifa hizi:-
Kwanza awe natural!hata akiongezea makeup siyo mbaya kwa mbali lakini siyo kujikoboa!!Mpaka moyo unauona na mishipa No way!!!
Mweusi kido mweupe kidogo...
Habari za wakati huu wakuu!!kuna msichana mmoja nimekuwa nikichat nae facebook kwa muda mrefu sasa,imetokea hvi karibuni tumepeana namba za simu,katika kuongea kwenye simu,binti anadai amevutiwa...
Ni miaka mingi hatujaonana, leo maazimisho ya Kifo cha Mwalimu, nipo katika usafiri wa umma (daladala) nikiwa kituoni, watanzania wenzangu wakiteremka, natizama dirishani, namwona jamaa ninae...
nawasalimu wana jf wote.nahitaji girlfriend ambaye badae tunaweza kuwa mke na mume.vigezo awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea,awe anaishi arusha au moshi.sichagui dini wala...
Wanaume hawapendi Mwanamke Kulalamika
Ile unarudi tu home kutoka kazini kila siku jioni kiumbe huyu ndo anakutazama hivi?
Nahisi baada ya siku kadhaa utatamani urudi yeye tayari kalala! Binadamu...
Couple No.1:
Mume: We mwanamke naona umechoka kuishi na mimi! Huniheshimu kabisa siku hizi
Mke: Nakushangaa wewe mwanaume suruali, mume gani hunijali siku hizi!
Couple No. 2: (Mume wa mtu na...
First time nafanya sex nilikuwa na 21 yrs lakini cha ajabu imekua karaha na sio raha tena maana kila ninapo sex na wasichana wamekuwa wakizimia na nimekamatwa na polisi mara 3 mara ya 3 ilikuwa...
1. Kuna familia baba, mama , na watoto wanalala chumba kimoja na hao watoto ni wakubwa miaka hata 10, sasa sijui huwa wanaenda guesthouse.
2. Wengine watoto wa kiume na wakike wanalala kitanda...
Wana jf hebu mnishauri kuna rafiki yangu wakike tunapenda sana kiasi kwamba moyo wangu umetua kwake cjamwambia lkn hana kipingamizi hata nikimwambi tatizo tunalingana umri je inaweza ikawa kikwazo?
Wana JF.
Maisha ni kitendawili usemi huu una maana kubwa sana, kwa nini?
Hakuna binadamu ambaye anajua litakalotokea kesho. Lakini katika maisha yetu ya kila siku hata katika uhusiano ya...
Fanya yafuatayo atarudi ndani ya siku 2
1. Kwa aliye kimbiwa / achwa na mke: Nenda kariakoo nunua vyupi kama 15 vya rangi tofauti, zianike kwenye kamba nje. Kila siku chache na rangi tofauti. Mtu...
Habari wana JF???
Wewe ni baba umeoa mwanamke aitwaye Bahati (Jina ni Mfano tu) na umezaa nae mtoto aitwae Zawadi.
Siku zote una gari yako na mkeo pia anayake ya kuendea ofisini kwake, siku ya...
Wewe ni mke/mume,mwenzi wako anarafiki wa jinsia tofauti wako karibu saaana,yatokea mko wote wa3,mara mwenzi wako anaomba simu ya rafikie wa jinsia tofauti na ku2mia ku2ma sms anakokujua.Je ni...
binamu yangu ana nyumba ambayo anaishi na kupangisha pia. mumewe ni mkali sana hivyo basi watoto wake wa kike uwa hawatoki ovyo na kila mtu pale mtaani ana wasifia kwa tania njema. sasa ana mtoto...