Okay blaming it on me....but You caused it!

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,474
6,534
Couple No.1:
Mume: We mwanamke naona umechoka kuishi na mimi! Huniheshimu kabisa siku hizi
Mke: Nakushangaa wewe mwanaume suruali, mume gani hunijali siku hizi!

Couple No. 2: (Mume wa mtu na kimada/nyumba ndogo)
Mume: Come on baby, wewe uko tofauti kabisa, yule ni mchafu, mkorofi yaani hana faida yoyote naishi naye basi tu kwa kuwa tulifunga ndoa kanisani!
Kimada: Yaani wewe uko tofauti kabisa na wa kwangu ambaye hata hajui wanae wanakula nini! Hata sijui yukoje siku hizi

Hivi hizi blames hizi tunazowatupia wenzi wetu, tuna uhakika gani kuwa hatujazisababisha sisi wenyewe.
Hivi kwa watu ambao mlikuwa wapenzi, marafiki kabla ya ndoa, inapofikia mkaanza kublaimiana baada ya kuoana, sio kuwa kuna namna ambayo wewe unayemblame mwenzio umeteleza ukapelekea mwenzi wako kufanya akifanyacho au kuwa alivyo? Kuna mwanamke/mwanaume anayeamua tu kuwa mume/mke mkorofi bila sababu?

Najiuliza mwenzenu!
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,219
91,806
it takes two to tango yes but wanasema mapenzi ni kama maua
yanachanua na kunyauka bora mkishindwana muachane kwa wema tu....

kwenye thread yangu ya nyumba ndogo nilisema ni makosa kuzungumza nje 'udhaifu au makosa ya wa ndani wako'

na hata wanawake pia wanayo hii

ya ndani tuyaache ndani,...ikishindikana wazungu wanasema 'bow out gracefully..'
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,765
104,922
It's human nature to point fingers at others. Only a handful of people can actually fess up about their screw ups. But for the majority of us we always find someone else to blame.

If we can't find anyone to lay blame on and we can't bring ourselves to fessing up we end up blaming the devil. Tell me you haven't seen a movie like this before!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,748
7,756

....lol....haya tena mwj1 asante kwa unyuzi mzuri...
kwa uzoefu wako, wewe ulisababishaje?

Hivi kwa watu ambao mlikuwa wapenzi, marafiki kabla ya ndoa, inapofikia mkaanza kublaimiana baada ya kuoana, sio kuwa kuna namna ambayo wewe unayemblame mwenzio umeteleza ukapelekea mwenzi wako kufanya akifanyacho au kuwa alivyo? Kuna mwanamke/mwanaume anayeamua tu kuwa mume/mke mkorofi bila sababu?

Najiuliza mwenzenu!

..."kabla ya ndoa, baada ya ndoa"
....hapo ndipo panaponitisha mimi mwenzenu...
kwanini watu 'hubadilika' baada ya kuoana...?

...msilete mambo ya love is blind, marriage is an eye opener kwanza...
 
Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,748
7,756
it takes two to tango yes but wanasema mapenzi ni kama maua
yanachanua na kunyauka bora mkishindwana muachane kwa wema tu....

kwenye thread yangu ya nyumba ndogo nilisema ni makosa kuzungumza nje 'udhaifu au makosa ya wa ndani wako'

na hata wanawake pia wanayo hii

ya ndani tuyaache ndani,...ikishindikana wazungu wanasema 'bow out gracefully..'

the boss, naomba unijibu....
ushaoa?....

kama jibu ni ndio....ikishashindikana kupata muafaka wa kuongea na mwenzako, ufanyaje?
huko nje unakosema una maanisha nini? nje ya uani, kwa mashoga/marafiki, kwa ndugu? kwa mchungaji, au?

It's human nature to point fingers at others. Only a handful of people can actually fess up about their screw ups. But for the majority of us we always find someone else to blame.

If we can't find anyone to lay blame on and we can't bring ourselves to fessing up we end up blaming the devil. Tell me you haven't seen a movie like this before!

....i had a bad experience kwenye hiyo red niliyo highlight...ukijikubalisha kujibebesha lawama hata usizostahiki nazo, utageuzwa victim wa domestic na psychological abuses...
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,219
91,806
the boss, naomba unijibu....
ushaoa?....

kama jibu ni ndio....ikishashindikana kupata muafaka wa kuongea na mwenzako, ufanyaje?
huko nje unakosema una maanisha nini? nje ya uani, kwa mashoga/marafiki, kwa ndugu? kwa mchungaji, au?
....i had a bad experience kwenye hiyo red niliyo highlight...ukijikubalisha kujibebesha lawama hata usizostahiki nazo, utageuzwa victim wa domestic na psychological abuses...

mbu nilichosema nje kwa maana ya kumzunguza not in a good way mkeo/mumeo
kwa mpenzi wako wa nje....but kama ni watu unao amini wanaweza kukusaidia hapo sawa...
 
Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,592
5,336
Mwanajamiione, nadhani hata kama mume wa couple 1 ana makosa, haimpi ruhusa mke wake kwenda nje, and vice versa. two wrongs don't make a right. Unajua nobody is perfect, na kama kila kosa la partner (hata liwe mbaya kiasi gani) unalichukulia kama legitimacy ya kwenda nje basi haina maana kuoa/kuolewa... linaweza kua sababu lakuachana, kama alivosema the Boss in this thread, ila sio sababu kabisa la kuanzisha mapenzi nje ya ndoa.
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,765
104,922
....i had a bad experience kwenye hiyo red niliyo highlight...ukijikubalisha kujibebesha lawama hata usizostahiki nazo, utageuzwa victim wa domestic na psychological abuses...

Totally agreed sir! Kamwe usijikubalishe (as you put it lol) kubeba lawama ambazo hustahili. Kukubali kufanya hivyo ni upumbavu. Ninachozungumzia mimi ni pale ambapo hata dhamiri yako mwenyewe inakubali kuwa ulichokitenda ni makosa.

Ligi ya nini kama mtu umetenda kosa? 'Denial' ya nini kama ni dhahiri umechemsha? Mimi nimeshawahi kuishi na watu ambao ni wagumu sana kukubali makosa yao. Wanakera hawa watu and I have a zero tolerance threshold with them. Usiombe uwe na mwenza wa hivyo. Utaiona dunia chungu.
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
216,550
728,445
Hivi hizi blames hizi tunazowatupia wenzi wetu, tuna uhakika gani kuwa hatujazisababisha sisi wenyewe.
Hivi kwa watu ambao mlikuwa wapenzi, marafiki kabla ya ndoa, inapofikia mkaanza kublaimiana baada ya kuoana, sio kuwa kuna namna ambayo wewe unayemblame mwenzio umeteleza ukapelekea mwenzi wako kufanya akifanyacho au kuwa alivyo? Kuna mwanamke/mwanaume anayeamua tu kuwa mume/mke mkorofi bila sababu?

Najiuliza mwenzenu!

mahusiano ni sehemu ndogo ya maisha ya mwanadamu...............................mpaka mfikishane huko utakuta kama siyo nyote basi mmoja wenu ana uhusiano mbaya na Muumba..............................amegangamala kumkashifu Mwenyezi Mungu..........kifikra, kimatendo na kikauli..................na matokeo yake hiyo dhuluma anayomfanyia Muumba hugeuka kuwa ni laana kwake na kizazi chake..................................kwani mwosha naye huoshwa...........................................bila ya kutii amri zote za Muumba ila ya kuchagua...........................maisha yetu hapa duniani yateendelea kuwa ni jahanamu badala ya kuwa ni bustani ya Eden kama muumba alivyokusudia...................tuache dhambi......................na mahusiano yatakuwa murua bila ya zengwe kabisa..............
 
Unaandika kama Ogah. Midoti midoti miiiiingi!
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,802
24,505
ruta umemaliza. huwa natafakari sana ule mstari wa 'mpende jirani yako kama nafsi yako'. self denial is the worst crime to oneself. unfortunately most of us would like to feel we ar not responsible for our own mess. then the blaming game start. mmejitahidi kutushawishi kwamba mwanaume aki-cheat ni kawaida tu,bt i guess kama tunafikia hatua hiyo ni sign kwamba the relationship if over,we just dont wanna face it.
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,802
24,505
dont blame him sasa,maybe his dot key gets stuck. hivi unajua na kwenye mahusiano kama usipokua positive hakuna kinachoenda? unaweza kununa kuwa mwenza wako kachelewa kurudi,kumbe kapata accident.waliomuokoa wanasubiri simu ipigwe watoe maelezo,na wewe umeuxhuna. unajua next day, u drown in ur own guilt!
Unaandika kama Ogah. Midoti midoti miiiiingi!
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,765
104,922
dont blame him sasa,maybe his dot key gets stuck. hivi unajua na kwenye mahusiano kama usipokua positive hakuna kinachoenda? unaweza kununa kuwa mwenza wako kachelewa kurudi,kumbe kapata accident.waliomuokoa wanasubiri simu ipigwe watoe maelezo,na wewe umeuxhuna. unajua next day, u drown in ur own guilt!

I dare you to shoot me
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
216,550
728,445
ruta umemaliza. huwa natafakari sana ule mstari wa 'mpende jirani yako kama nafsi yako'. self denial is the worst crime to oneself. unfortunately most of us would like to feel we ar not responsible for our own mess. then the blaming game start. mmejitahidi kutushawishi kwamba mwanaume aki-cheat ni kawaida tu,bt i guess kama tunafikia hatua hiyo ni sign kwamba the relationship if over,we just dont wanna face it.

the game is not over but it is a sign that the hardwork of major relationship repairs ought to begin in earnest.................siyo vizuri kuachia juhudi kubwa iliyofanyika awali kwa kuyakimbia matatizo.........
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
216,550
728,445
Unaandika kama Ogah. Midoti midoti miiiiingi!

it is me....my style ya kukatisha khabari na kukujuza ya kuwa ni endelevu na haiwezi kuishia hapo nilipoishia....................get out of your comfort zone and expose yourself to different artistic visions and style you will benefit more.......................focus on content rather than writing style............
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,765
104,922
it is me....my style ya kukatisha khabari na kukujuza ya kuwa ni endelevu na haiwezi kuishia hapo nilipoishia....................get out of your comfort zone and expose yourself to different artistic visions and style you will benefit more.......................focus on content rather than writing style............

If the style sucks it's hard to focus on the content. But just do you! Don't mind me. Deuces.
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
216,550
728,445
dont blame him sasa,maybe his dot key gets stuck. hivi unajua na kwenye mahusiano kama usipokua positive hakuna kinachoenda? unaweza kununa kuwa mwenza wako kachelewa kurudi,kumbe kapata accident.waliomuokoa wanasubiri simu ipigwe watoe maelezo,na wewe umeuxhuna. unajua next day, u drown in ur own guilt!

I must admit; and rarely do this, king'asti you rock this place now..................
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
216,550
728,445
Mwanajamiione, nadhani hata kama mume wa couple 1 ana makosa, haimpi ruhusa mke wake kwenda nje, and vice versa. two wrongs don't make a right. Unajua nobody is perfect, na kama kila kosa la partner (hata liwe mbaya kiasi gani) unalichukulia kama legitimacy ya kwenda nje basi haina maana kuoa/kuolewa... linaweza kua sababu lakuachana, kama alivosema the Boss in this thread, ila sio sababu kabisa la kuanzisha mapenzi nje ya ndoa.

hapo penye red ndipo utamu wa mchuzi ulipo...............
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
216,550
728,445
If the style sucks it's hard to focus on the content. But just do you! Don't mind me. Deuces.

Is it really my style that sucks or your bloated ego that really sucks up the oxygen we all need to survive..........looks like a mild form of censorship you are aiming to impose upon me.........................not to express myself the way I feel it nice and good..........................nice and comfortable.......
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Top Bottom