KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Mimi napenda mwanamke awe na sifa hizi:-
- Kwanza awe natural!hata akiongezea makeup siyo mbaya kwa mbali lakini siyo kujikoboa!!Mpaka moyo unauona na mishipa No way!!!
- Mweusi kido mweupe kidogo!
- Urefu akisimama afikie kwenye usawa wa chini kido ya bega langu!
- Awe mnene wakawaida asizidi uzito wa 40-50,ambaye naweza kumnyanyua kwani mimi ni nimtu wa lifting (gym)
- Awenimtu wakumshahuri mwenzie anapokosea kabla ya kuanza kukasirika.
- Awe nimtu wakumsikiliza mwenziye pale anapoambiwa jambo!
- Aweni mtu wakusocializ
- Asiwe mlevi ila mnyaji.
- Awe Outing sehemu zilizotulia hata kama nibei mbaya lakini unakutana na watu tofauti una gain something.
- Napenda kuendeshwa kwenye gari!!
- Awe mdekaji na anayejua kubembeleza kwani na mimi napenda kudekezwa!
- Akikwazika asikae nacho moyoni aniambie direct
- Napenda deep tonguekiss's!
- Awe na lip ndogo siyo makubwa no!
- Akiwa na dread napenda lakini weaving its ok to me!
- Urembo wa kucha nikitu muhimu kwangu!
- Napenda hasa akivaa viatu vinavyo onyesha kucha zake i like it
- Hand bag lisiwe likuuuubwa!
- Awe anajua kuvaa kwenda na wakati! stylish gal
- I hate sharing even is caring!
- Napenda kutukuzwa kwa watu this is my boy friend!!na kunikiss in publicly!
- Awe na mguu mdogo namba 4.5-5
- Umri asiwe mkubwa sana lakini hupendelea hasa hawe ananzia 25-40 kwani anakuwa anajua nini anatakiwa kufanya!