"A Thin line Between Love & Hate. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"A Thin line Between Love & Hate.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mlawi, Oct 11, 2011.

 1. M

  Mlawi Member

  #1
  Oct 11, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau wa JF,

  Kwa wale waliowahi kuangalia hii movie wake/waume mmejifunza nini?

  Nawasilisha.
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 145
  nilijifunza kwamba there is a thin line between love and hate
   
 3. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,987
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Mapenzi
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Oct 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  • Kwamba U-player ni balaa..
  • Kwamba Usimchezee mwanamkea alokupenda anaweza kukua...(nafasi ya Whitefield)
  • Kwamba Wanaume siku zoote hujiona wanajua saana ku play wanawake but once in a while hukuta yule ambae yupo hatua mbili mbele ya kila hatua... (Nafasi ya M. Laurence)
  • Kwamba it hurts Sooo bad to Love sehemu ambayo haupo Loved... (nafasi ya Whitefield & Regina King thou yeye badae alipata anapopenda)
  • Kwamba Money is not everything in Love.. waweza kua nayo na usiridhike hasa kama ni ya Mwanamke... (Nafasi ya Laurence)
  • Kwamba an Ordinary woman to Most Men is the MOST extra Ordinary... (Mama wa Laurence & Regina King)
  • Kwamba wanaume daima husimamia na kutetea wanaume hata kama anamkosoa kumgeuka ni nadra...
  • Kwamba wanawake are good at handling Pressure kuliko Wanaume...
  • Kwamba if you LOVE too much... tha Love could easily turn to HATE.
   
 5. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,758
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa interested na hiyo reason ya mwisho! Sio mpenzi wa movie ila ngoja niitafute!
   
 6. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,849
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Wewe ndiye Mtunzi nini?
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,053
  Trophy Points: 280
  kuendesha farasi
   
 8. M

  Mlawi Member

  #8
  Oct 15, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Point ya mwisho imenifurahisha. Nahisi kama ungekuwa mtihani umepata 100%. Wanaume kama hujaelewa kitu alichoandika AshaDii utakuwa una upungufu wa u bongo wahi kwa Dr.
   
 9. S

  Samkyjr JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Perfect movie!!
   
 10. M

  MORIA JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  duh!....ila nawe hujamuelewa Asha pamoja na ile movie...star wa kike alimpenda martin upeo(kummiliki martin na fedha na vitisho) bila kuchunguza penzi la martin kwake....somo linarudi kwa bintis sio kila m'ume akikuambia nakupenda basi uamini 100% ni kweli afu unajiachiliaaa...utapendaje usipopendwa?
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 81,871
  Likes Received: 44,247
  Trophy Points: 280
  do not put your trust in humanity....................they will more than often betray you while plotting just to assuage you with that deceitful words............Am extremely sorry..............................Have confidence in the Spirit from the Almighty God....................but distrust the flesh with all your heart and everything will be well with you..............................God never disappoints to those who dearly seek and honour Him with all their heart.
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Oct 15, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160

  Ruta Unfortunately not every body applies religious beliefs in their every day life as much as it is the best way....
   
 13. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,587
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Uliingalia vizuri ile movie? pale dada anapouliza mara kadhaa mkaka anasema I am real! usicheze na wanaume wewe hata ungekuwa mwana saikologia wa kike siku hiyo inakutoka! lol
   
 14. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,197
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ..hakuna mwanamke mgumu "wote wanaingilika"
   
 15. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,181
  Likes Received: 2,803
  Trophy Points: 280
  Me nilijifunza miaka ile ukisha do Girl Tayari unakuwa ''The Man''
   
Loading...