Everyone already knows that they probably wont have a romantic long lasting relationship with a woman who is a stri**er, for example. But besides this more obvious type of women, there are a lot...
Kama huyo ndiyo mke wako na kwa bahati na wewe umekuwa mnene na unakitambi
1. mnaweza kuenjoy tendo la ngono?
2. Mtakuwa mnafanyaje?
3. Nahisi magogoni (Ikulu) unaweza usikuone
Hivi ni kwa nini akina dada na mama ndo wanalalamika hasa kuhusu kusalitiwa, lakini wao hawajioni. Mi nshafanya uchunguzi utakuta boy akikutana na dem hata km hamjui anahapa kuwa atampata na kweli...
Sizungumzii kwamba ulikuwa unampenda zamani halafu baadaye mapenzi yakachuja. Sizungumzii kwamba ulikuwa unampenda mtu kiukweli kabisa na ukajitoa jumla jumla katika taasisi takatifu ya ndoa na...
Wapendwa, Salaam poleni na majukumu, tatizo langu ni kwamba nimeachana na mume wangu takribani miaka sita sasa, mtoto wangu wa kawnza ndio alimaliza darasa la saba mwaka huu, katika kuhangaika...
Aslm waungwana....Bwana Yesu asifiwe....Mamboz
Habari za masiku tele....wapinzani hongereni kwa ushindi Igunga.
Naomba kukaribia tena baada ya muda mrefu natumai wana Jf mpo wote na Mola...
Jamani ushauri wenu ni muhimu.,
Ni rafiki yangu ambaye tumemaliza naye chuo, katika kurupukushani za kutafuta kazi amegundua kuwa kuna boss mmoja ambaye alimhaidi dada yake kuwa atamtafutia...
Siku ya Ijumaa tarehe 7/10/2011 mke wangu alijifungua mtoto wa kiume na tulikubaliana kuwa yeye ndo amchagulie jina mtoto. Sasa leo usiku narudi home toka kwenye mishemishe zangu, mke wangu...
Wana JF naomba msinitafune, mambo ya kutumwa email nilikosea jamani
naomba muwasiliane nae kwenye delmonte198@hotmail.com
mkini PM msiwe na wasiwasi ujumbe nitaufikisha. samahani sana kama kuna...
Anakufa mtu unayemjua tangu akiwa mzima wa afya hadi alipougua na kufariki. Kabla hujajua amekufa kwa maradhi gani, unaanza kupita ukinong'ona kwamba, amekufa kwa Ukimwi.
Inawezekana ni kweli...
Kama kawaida najongea ktk hili jamvi ila mwenzenu nina matatizo sana yaani kila demu ninae mpata hatukai muda mrefu ananimwaga,kama kuhonga naonga,kukalua ndo usiseme,halafu ni hb kinoma sasa...
Habari Familia yangu ya MMU na wana JF woote...
Hopefully you and your Loved ones woote ni wazima and have spent the Weekend to perfection.... Leo nimeona tuweke maswala ya Wapenzi pempeni na...
How i feel... Sometimes its really difficult to tell people around us how we feel i wish i can let someone inside my heart so they can see how much i'm hurting, not that...
...are you the victim of your own success?
are you living your dream or are you living a nighmare?
una usongo wa mawazo unaotokana na majukumu ya kazi, familia, ie---ndugu, jamaa na marafiki...
Roger alikuwa anamfundisha dada yng na pia alikuwa na uhusiano nae.Ila Roger alisifika kwa akili nyingi pale shule ya secondary Pugu high school walijuana na dada kwa kuwa alikuwa anasoma pale...
Ndugu yangu ananieleza haya:
Anaishi nyumba ya kupanga, ana vyumba viwili na sebule. Mwanae wa kiume alikuwa akilala na mabinti (mmoja ni ndugu wa karibu) na binti wa kazi za ndani (house girl)...
Nimekaa na tatizo hili bila kumweleza hata rafiki yangu wa karibu,leo nimeamua niombe ushauri kwenu wana JF....natumaini mtanisaidia! Mke wangu ni mlevi kupindukia..na juzi aliletwa na rafiki yake...
This is the best and most civil way to have a fight between husband and wife instead of resorting to physical force...
WIFE:
I wrote your name on sand it got washed.
I wrote your name in air, it...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.