Nahitaji girlfriend ambaye badae anaweza kuwa mke

kalanga

Member
Feb 2, 2011
79
68
nawasalimu wana jf wote.nahitaji girlfriend ambaye badae tunaweza kuwa mke na mume.vigezo awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea,awe anaishi arusha au moshi.sichagui dini wala kabila.mimi ninaelimu ya chuo kikuu.interested ani pm.
 
duu hutaki gharama ya kusafiri safiri, tafuta hata wa mbali umhamishie huko kaka.wa hapo wote wana wenyewe
c unajua ukiona nyani mjini jua ana mwenyewe....
 
Kalanga bana!! Elimu ya chuo kikuu alafu post ipo incomplete hivo?? Dah!
 
Hivi kwanini mtu utafute mke kwa kutumia matangazo? Unashindwa kabisa kujitafutia mwenyewe mtaani kwenu, shuleni, kazini na maeneo ya mikusanyiko?
Hili bandiko lingekuwa la mdada ningeelewa cuz wengi wanakuwa overlooked!
 
.........lol....... Yupo busy saana.... mda wa ku mingle ni finyu saana....
 
Daaah nimehama moshi juzi tu na kuamia same. Sijui nirudi ili nimalizane na jamaa??
 
Hivi kwanini mtu utafute mke kwa kutumia matangazo? Unashindwa kabisa kujitafutia mwenyewe mtaani kwenu, shuleni, kazini na maeneo ya mikusanyiko?
Hili bandiko lingekuwa la mdada ningeelewa cuz wengi wanakuwa overlooked!

umeongea kaka,huyu jamaa bana!!hata me ningesapot kama angekua mdada,,mwanaume huwez tangaza kua unatafuta mpnz.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom