Naitaji kujua

Kuijenga akili yako kisaikolojia, vijana wengi mnakuwa na mawazo kwamba unataka upate ile kitu free badala ya kufukuzana na wasichana mtaani!!! Kama una mawazo hayo bado, kwenye ndoa kuna vitu vingi sana vitakavyokufanya ama uipende ndoa au uichukie sana kiasi ukiona mwenzio anaoa au anaolewa unamsikitikia!!!

Ijue ndoa kwanza ndiyo utajijua ni umri gani unakupasa kuoa!!
 
Kama huna hela usioe hata kama umri wako ni miaka 100. Lazima Utakufa na kihoro kama sio BP
 
Kisheria kuanzia miaka 18 unavuta mtu ndani, ilimradi uwe na uwezo wa kulea familia, na sie waafrika ujue tu kulima shamba lako na upate mavuno, maana mambo ya kuajiriwa yamekuja tu zamani ilikuwa bila jembe hakuna kula
 
Back
Top Bottom