Re: Kuchukua hatu!

Adam waTZ

Member
Jun 14, 2011
83
9
First time nafanya sex nilikuwa na 21 yrs lakini cha ajabu imekua karaha na sio raha tena maana kila ninapo sex na wasichana wamekuwa wakizimia na nimekamatwa na polisi mara 3 mara ya 3 ilikuwa 28-8-2011 polisi Kigamboni.

Msichana wa kwanza first aid hakuzinduka mpaka hospital na wapili hivyohivyo ila watatu alizinduka kwa first aid japo ilichua muda, majibu ya daktari nikwamba mapigo ya moyo yalikwenda kasi isiyo kawaida wakati tunasex na kasema ni hatari inaweza kusababisha kifo na watatu alipozinduka hajitambui wala kuniambia chochote sasa nahisi siku ntafukwa maisha maana jamii haitanielewa.

Bahati nzuri wote hawakuwa wanafunzi maana ningeumbuka mpaka sasa ningekuwa jela, sasa nahofu kubwa inayopelekea kupoteza hisia maana siinjoy kabisa maana wanazimia wakati nakuwa sijafika hata goli moja na wanapozinduka nakuwa sina hamu nao tena, nao wanaogopa nikiwagusia so mimi sijui lakufanya nn ili nifurahie mapenzi. I'm serious nahitaji msaada ama ushauri
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,219
17,980
Utanisamehe kua issue yako yawezekana kubwa but nimecheka mno... mpaka roho kufurahi.... Mapigo yaenda mbio saana eeeh?? Dah! Mkuu labda kabla hatuja anza assumptions ya tatizo hapa labda utujulishe kama wee ni regular size au abnormal size....
 
ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,975
1,639
First time nafanya sex nilikuwa na 21 yrs lakini cha ajabu imekua karaha na sio raha tena maana kila ninapo sex na wasichana wamekuwa wakizimia na nimekamatwa na polisi mara 3 mara ya 3 ilikuwa 28-8-2011 polisi kigamboni, msichana wa kwanza first aid hakuzinduka mpaka hospital na wapili hivyohivyo ila watatu alizinduka kwa first aid japo ilichua muda.

Majibu ya daktari nikwamba mapigo ya moyo yalikwenda kasi isiyo kawaida wakati tunasex na kasema ni hatari inaweza kusababisha kifo na watatu alipozinduka hajitambui wala kuniambia chochote sasa nahisi siku ntafukwa maisha maana jamii haitanielewa.

Bahati nzuri wote hawakuwa wanafunzi maana ningeumbuka mpaka sasa ningekuwa jela,sasa nahofu kubwa inayopelekea kupoteza hisia maana siinjoy kabisa maana wanazimia wakati nakuwa sijafika hata goli moja na wanapozinduka nakuwa sina hamu nao tena, nao wanaogopa nikiwagusia so mimi sijui lakufanya nn ili nifurahie mapenzi. I'm serious nahitaji msaada ama ushauri

mkuu umbo lako la mwili ukoje? Isije ukawa una kg 300 halafu una apply style ya misheni bila kuzuia uzito wako wote kwa mpenzi wako when sexing. Hii ilimtokea mtu Udsm 2002 hall 6. Jamaa, bonge, akachukua katoto c kakazimia wakati wa sex. Bahati yake alizinduka tulipommwagia maji. Ila ajabu after 2 days katoto kakaja tena, wanawake bwana, lol!
 
hayaka

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
474
100
pole sana inaonekana unachaguaga kuku wa kisasa, hebu jaribu wa kienyeji au hata nyama ya bata. Go for big girls.
 
Pawaga

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
1,330
963
hii huwatokea baadh ya wasichana hasa wenye mzuka wa juu wa mapnz,.mi nlipokuwa chuo niliwah shuhudia kesi kama hzo mbili lkn kwa wanawake wa2 tofauti...tatizo linakuja iweje kila unaetoka nae awe na tatizo hilo?. Mmmh hapo balaa mkuu
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,219
91,806
HUU NI UWONGO MTUPU.....YAANI WANAWAKE WATU WAZIMA AMBAO SIO WANAFUNZI WAZIMIE?????

HIVI UNAJUA 'SCIENTIFICALLY' MWANAMKE ANAWEZA KU SEX NA HATA WANAUME KUMI KWA SIKU??????

Kwenye sex wanawake wako more strong kwa sababu wako kwenye 'receiving end' ndo maana unasikia
msichana kabakwa na watu kumi au zaidi na 'kajikausha' hata hospitali hakwenda....
 
samilakadunda

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
1,780
346
Utanisamehe kua issue yako yawezekana kubwa but nimecheka mno... mpaka roho kufurahi.... Mapigo yaenda mbio saana eeeh?? Dah! Mkuu labda kabla hatuja anza assumptions ya tatizo hapa labda utujulishe kama wee ni regular size au abnormal size....

ashadii umenifanya nicheke sana ila inatisha, kwahiyo kama ni abnormal ina kwenda kugusa hadi moyo.isee waroho wote hujamaa kiboko.
 
samilakadunda

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
1,780
346
mkuu umbo lako la mwili ukoje? Isije ukawa una kg 300 halafu una apply style ya misheni bila kuzuia uzito wako wote kwa mpenzi wako when sexing. Hii ilimtokea mtu Udsm 2002 hall 6. Jamaa, bonge, akachukua katoto c kakazimia wakati wa sex. Bahati yake alizinduka tulipommwagia maji. Ila ajabu after 2 days katoto kakaja tena, wanawake bwana, lol!

we ndyako,auhamkumweleza kwamba alizirahi?kweli binti kauzu zaidi ya dagaa!
 
Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,478
6,166
HUU NI UWONGO MTUPU.....YAANI WANAWAKE WATU WAZIMA AMBAO SIO WANAFUNZI WAZIMIE?????

HIVI UNAJUA 'SCIENTIFICALLY' MWANAMKE ANAWEZA KU SEX NA HATA WANAUME KUMI KWA SIKU??????

Kwenye sex wanawake wako more strong kwa sababu wako kwenye 'receiving end' ndo maana unasikia
msichana kabakwa na watu kumi au zaidi na 'kajikausha' hata hospitali hakwenda....

Mkuu Muboss
Mie nina wasiwasi na utendaji kazi wake maana hii mara nyingi hutokea pindi mwanamke anaposikia raha sanaaa na ndiyo wakati anahitaji ujitume zaidi ili kumpatia hitimisho la raha yake na wewe unakuta uwezo wako umefikia tamati!!! Anaweza kufa pale

Otherwise mengine anatuongopea kwa story za kusikia mitaani!!
 
fabinyo

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,828
1,660
...muwe mnapima uzito kabla ya tendo,yawezeka wao ni uzito wa vinyoya na wewe ni heavy weiti..!lakini nahisi nikama umetunga
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom