Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1. USIWEKE PASSWORD KWENYE SIMU KWA KUMWOGOPA MWENZA AU MCHUMBA WAKO 2. USINDANGANYE UMRI ILI KUKUBALIWA 3. USIWE NA NYUMBA NDOGO 4. USIDANGANYE KUWA BIKRA WAKATI HUNA 5. USIFANYE MAPENZI KABLA YA...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Je wewe unamdekeza hivyo mwenzi wako, au unaishia kumpiga miti tu?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kipekee niwapongeze kwa kuwa na familia. Raha ya familia hunifanya niamini kuwa family is a gift from God na sote tuna responsibility ya kuwajibika kuifanya kuwa sehemu ya pekee kwenye mzunguko...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Woman Stabbed Boyfriend Over Alleged Monopoly CheatingBy Colleen Curry | ABC News Blogs – 13 hours ago tweet93 Share10 Email Print Laura Chavez is shown in this Santa Fe County Jail booking...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
A person who responds to you with patience, kindness, and he/she is not envious of you? A person who is not boastful or prideful? A person who is not rude toward you or self-seeking or easily...
0 Reactions
1 Replies
790 Views
Ameamua kutoro na elfu22 saa mbili usiku.saa nee ikatolewa taarifa polisi.kesho tukampigia rafiki yake wa kiume kijijini kama ana taarifa nae.yule wa kajijini kasema amepigiwa simu na huyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Salamu zinarushwa live and exclussive kutoka Bukoba Club. Nimewamiss sana wana MMU
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Ninaangalia Kenya's TV inayoitwa K24 kipindi kinaitwa connect, wadada wawili wajadili sababu za mwanaume kukojoa mapema wakati wa kufanya mapenzi (Premature ejaculation) na jinsi ya kufanya ili...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
ni makosa makubwa kwa mtu yeyote kukujua au kujua id yako hapa jf kuna dada mmoja amenijua na tukapeana user name zetu huko facebook yaani ananifatilia sana halafu inaonekana ni mfuasi wa magamba...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani nisaidieni huyu mwana mke simuelewi sijui ndo usomi mimi na yeye wote tume graduate mwaka jana.mkewangu akiwa na mimba tulielewana kuwa akiwa mtoto wa kike jina amchagulie yeye na akiwa...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Nimegundua nowdays sio kama enzi za wazazi wetu yani watoto hasa wa kiume hawataki kuoa kabisaa ispokuwa wachache yani vijana wako radhi kubanjuka kila baada ya wiki katika malodge na mahotel...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna mzozo mkubwa umeibuka katika ndoa fulani baada ya mdada mmoja kuwa na mazoea ya kupiga simu redioni kumtakia njozi njema mpenzi wake xxx (akimtaja kwa majina matatu)... Jamaa anayetajwa ni...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
nafatuta mwanaume aliye mpweke awe na watoto wasiozidi wawili umri usizidi miaka mitano awe HIV-NEGATIVE MIMI NINA UPENDO WA KWELI NINA MIAKA 32 MAWASILIANO EMAIL AMINSENGA@YAHOO.COM KAMA...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Polen na kifo cha ghadaffi wakuu!!eti wadau,mimi ntakua na shida gani maana nina aibu mpaka najhc mim co binadamu wa kawaida,yani nikiwa naongea na mtu yeyote hata ndugu yangu wa damu cwezi...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
:unakuta anajifanya busy for nothing. :ukipisha nae ukamsalimia anajifanya kuuchubua. :kama umezoeana nae ukamsalimia anakujibu halafu anaongezea nipe hela ninunue kitu fulani :ukiongea nae kwa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Umefukuzia kutaka kumwoa dada mtu, kakuchomlea. Baadaye uNagundua anamdogo wake ambaye alikuwa hata hajui ya dada ake, unamsomesha anakubali . Je kumchumbia mdogo mtu wakati dadamtu kakuchomolea...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wadau habarini?......... Kuna usemi wa kingereza usemao “The more mistakes one makes in life, the smarter one gets in life” ------ I ask if it s applicablle in mapenzi na...
4 Reactions
90 Replies
7K Views
Nimewaza mambo milioni kidogo bila majibu ........ Nimepanda kitandani sijapata usingizi hata kidogo..... Ndani ya masaa nimewaza mazuri yote na mabaya zaidi nimechoka kiakili... I wish nilie kwa...
11 Reactions
85 Replies
7K Views
Kila ninapomtokea msichana ananiambia ngoja nikafikilie nitakupa jibu, nasubili weeee namkumbushia tena ananipa jibu hilo hilo. Baadaaae anakubali tena kwa mbinde sana wakati upendo wangu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
".....i hate alcohol including smoking and i've loved just one man all my life but he ended up breaking my heart. I don't ever wanna experience heart break again because i don't think i can take...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…