Imekaaje hii nayo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Imekaaje hii nayo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tabutupu, Oct 28, 2011.

 1. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  Umefukuzia kutaka kumwoa dada mtu, kakuchomlea. Baadaye uNagundua anamdogo wake ambaye alikuwa hata hajui ya dada ake, unamsomesha anakubali . Je kumchumbia mdogo mtu wakati dadamtu kakuchomolea haitaleta balaabalaa?
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  jf is never boring....
   
 3. A

  Abu-Musab Senior Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  imetulia owa tu
   
 4. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwani Dada mtu uligonga?
   
 5. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  sijagusa chamtu, sipendi kuchafua nyumba nisiyo imiliki.
   
 6. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  imekaa vizuri,oa kwa sherehe kubwa mno kama vp nialike.
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ktk hili naona haitakuwa na ubaya kinachota is true love
   
 8. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mmhh!!
   
 9. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  we endelea, na harusi tangaza tukuchangie na huyo dada mtu awepo........
   
 10. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Oa Tena Mpe mapenzi mazito sana huyo mdogo mtu given hakula tunda la dada yake.
   
 11. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Jambo jema na la maana kwanza unatakiwa umuweke wazi dada mtu kuwa kwa sasa wewe ni shemeji yake na hukuwa na nia mbaya wakati unajaribu kumtongoza maana anaweza kuja sikia na kuleta balaa hata la kizushi kwa mdogo wake kuwa nae uliwahi kula,kama mwenzi wako ni muelewa basi nae yafaa umwambie ukweli wa kilichotokea ili kusiwe na mashaka pale dada mtu atakapoleta balaa zake.
  Hongera sana kwa kuweza kuwekeza pale pale moyo wako ulipokuwa unataka na kwa kuwa uwekezaji wa mwanzo haukuwa mzuri sasa wekeza hapo tena ongeza mtaji ila angalia usije jikuta unakula kote kote.
   
 12. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hapo hamna shida, pengine sababu zilizofanya dada mtu akatae hazina mshiko kwa mdogo mtu na wewe ulikataliwa na dada mtu sio ukoo wao. Hata hivyo kuwa makini maana dada mtu lazima ataleta sumu, lazima atataka kumshika masikio mdogo wake

  Ulimwambia mdogo mtu kuwa ulikula za uso kwa dada yake?
   
 13. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145

  Ina maana ulikuwa unafanya trial and error, huyo dada mtu hukumpenda in the first place. Dah! Wanaume kwa kurusha ndoano! Anyways yote heri, endelea na owa, ila make sure haumtendi huyo mdogo mtu, Coz watakushukia hadi utabroo mapigo!
   
 14. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  Sikuwa na jaribu, kwa jinsi nilivyo mpenda dada mtu , nimeamua nisitoke nje ya jamii yake. kuhusu kumtenda mdogomtu usiwe na hofu, Nina MBA (Bikra management and security)
   
 15. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  hahahaaa, kweli JF is never boring
  Source-The Boss
   
 16. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hujamjibu bado
   
 17. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kama hujanjuja dada mtu haina shida.majeshi mbele.
   
 18. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Kamwambie kwanza mdogo mtu ka ulishawahi kumtokea dada mtu!!
   
 19. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kaoe leo leo na si kesho
   
 20. v

  valid statement JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  oa tu mkuu. Ila usizini kabla ya ndoa.
   
Loading...