Nachukia sana hii kitu!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nachukia sana hii kitu!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jakubumba, Oct 28, 2011.

 1. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kila ninapomtokea msichana ananiambia ngoja nikafikilie nitakupa jibu, nasubili weeee namkumbushia tena ananipa jibu hilo hilo. Baadaaae anakubali tena kwa mbinde sana wakati upendo wangu unaanza kupungua kwa jinsi alivyonisumbua huku namlove. Hivi ninyi akina dada hisia zenu za upendo huwa ziko maili ngapi?
   
 2. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,457
  Likes Received: 3,707
  Trophy Points: 280
  500....tembea iwe 0
   
 3. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Unakosea kulenga aisee!Wa category unayoitaka wewe wapo kibao!Una omba na kupewa bila usumbufu wa ngoja nijifikirie.
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Atembee kwenda wapi da Black W.........,au ndio kwenda msituni kutafuta mshale,by the way black woman is not real black.
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,918
  Likes Received: 451
  Trophy Points: 180
  Ngoja kwanza nitaludi...!!!
   
 6. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kama mdada mwenyewe hakufahamu, unataka tu akupe YES???!!!! Ninaamini kuwa upendo ambao umeanzia kwenye urafiki huwa unadumu..........hapa nina maana, mnahitaji kuwa marafiki kwanza,....then something beautiful can develop from that friendship............
   
 7. clet 8

  clet 8 JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 1,065
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Hakuna kitu ila ni ile staili ya SITAKI-NATAKA, ndiyo inasumbua
   
 8. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  Ujue anakuokoa.
   
 9. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  like it!!!!
   
 10. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,100
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  most women like to play hard to get...
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...shukuru mungu walau wanakujibu na hizo hopes ...
  wengine utambulia msonyo tu.."... ♪ .mmnnxxxxxxxxxxxxiiiii.. ♪ . !"
   
 12. JICHO LA 3

  JICHO LA 3 JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hua tunachunguza kwanza...je? kuna ukweli ndani yake
   
 13. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kwanza kutokana na wanaume wengi siku hizi kuwa wadanganyifu,wanawake wameshtuka na kuamua kuchunguza kwanza kabla ya kukubaliana na muombaji,tatizo linakuja ni namna gani ambavyo mwanamke anaweza kukuchunguza kabla hajakubali kama mnaishi mbali au mnakutana tu sehemu ya kazi tofauti na wale ambao mnakaa pamoja kama vile chuoni.

  Pili,mwanamke ni lazima aringe kidogo ili kuweka hadhi yake iwe juu kwako sio kukukubalia leo leo na kesho umuone ni maharage ya Mbeya maji mara moja.

  Kama kweli ulikuwa una nia na mwanamke na una mapenzi ya dhati kwake basi hata ichukue muda gani mapenzi yako kwake hayatapungua ila kwako naona ulikuwa unataka ngono zaidi kuliko ambavyo unataka ionekane hapa.
   
 14. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  asante mi sina neno tena hapo
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,217
  Trophy Points: 280
  wanaume bwana akikupa jibu direct utamuita kicheche,akikuzungusha utasema msumbufu. Loh. . !
   
 16. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  Baadae inakuwa kama kumsukuma mlevi tu.
   
 17. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kwa nini mtuzungushe? Raha twapeana wote mizunguko ya nini?
   
Loading...