usikubali mtu yeyote akujue hapa jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

usikubali mtu yeyote akujue hapa jf

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by rosemarie, Oct 26, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,743
  Likes Received: 832
  Trophy Points: 280
  ni makosa makubwa kwa mtu yeyote kukujua au kujua id yako hapa jf
  kuna dada mmoja amenijua na tukapeana user name zetu huko facebook
  yaani ananifatilia sana halafu inaonekana ni mfuasi wa magamba na mimi nayachukia magamba
  nahisi atawaonyesha magamba nyumbani kwangu,sasa hivi nimekosa amani
  nimekutana naye jana akaniangalia kwa jicho la husuda
  nimekosa amani kabisa hapa jf,naomba msifanye makosa kama hayo wakuu!
   
 2. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  pole sana mkuu kwa yaliyokukuta
   
 3. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,149
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Thread hii waileta kila siku?
  OTIS.
   
 4. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,898
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  mimi nataka kuwajua wote na wote wanijue.
   
 5. Imany John

  Imany John Verified User

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,708
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  hahaha mapenz yanaua?
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,280
  Likes Received: 3,191
  Trophy Points: 280
  raha ya PIPI Mate yakhe ushamwonjecha mate basi tuachie wengine nao wapate raha atiiiiiiiiiiiiiiiiii amiiiiiiiiiii mbona hivyooooooooooooo
   
 7. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hiki ni kiporo aisee!!!
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  We ni kati ya watu waoga kabisa duniani, na inaonyesha wazi kabisa kuwa hujiamini!
   
 9. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 9,580
  Likes Received: 1,645
  Trophy Points: 280
  cha msingi ni kuwa na uhakika wa unachokiandika. ingawa tetesi nazo huwa zinasaidia. Kuna tetesi nilitoa ya kiongozi kujimilikisha gari, sasa imepigwa ajua kwa kuhofia wananchi kupoteza imani naye, kwani ana ndoto za kuwania ubunge wilayan kwake.
   
 10. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mhh mbona mwoga hivo kwani akiwaonyesha magamba wewe umefanya nini
   
 11. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  fungu id mpya na usirudie tena..kwanini umwambie Rejao?
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Ngoswe, penzi kitovu cha uzembe.
   
 13. P

  Punguli Member

  #13
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wacwac wako, 2lia!
   
 14. Makoye Matale

  Makoye Matale JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 6,388
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Vyama vya siasa ni vikundi vya watu kwa ajili ya kupata ridhaa ya wananchi kuiongoza ama kuiendesha nchi hii, hivyo utofauti wa itikadi za kisiasa zisitufanye tuchukiane kiasi cha kushindwa kushirikiana kama Watanzania. Huyo mwanadada anakufuatilia kwa lipi? Kama ni mapenzi mpe 'kitu kikali' hatakufuata tena.
   
 15. ram

  ram JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 5,952
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Nimecheka mbavu sina......
   
 16. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  sasa unaogopa nini jaman mbona hivi
   
 17. clet 8

  clet 8 JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 1,020
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hilo nalo la kkukukosesha amani! Badilisha password haraka.
   
 18. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,293
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Pole sana lakini alikupa nini mpaka ukajimaliza kiasi hicho? anakuangalia kwa jicho la Husda wala usiogope atakuona hivyo hivyo kama mkwewe,hana la kukudhuru wala asikushugulishe husda zake na choyo zitamrudia mwenyewe,na usizowee tena na wewe ukichekewa tu unatoa siri ungekua na gorofa pia ungempa usirudie tena umesikia........Ngoja The Boss aje ntamweleza atafanya mamuzi....
   
 19. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Acha woga mkuu, magamba daily tunakomaa nao mitaani na wanatukimbia. Akija kichwa kichwa mpe za uso tu.
   
Loading...