Wimbo huu unavutia

quimby_joey

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
390
164
".....i hate alcohol including smoking and i've loved just one man all my life but he ended up breaking my heart. I don't ever wanna experience heart break again because i don't think i can take it if it should hapen again...."

wimbo huu nimeimbiwa na dada mmoja ambaye ndo tuko kwenye terms of agreement ili kufungua ukurasa mpya wa mahusiano yetu. umri wake ni above 28, ila najawa na maswali mengi ni kweli katika maisha yake yote kapenda mara moja tu au ndo wimbo ule ule wa madada kutaka kuonekana wao ni wasafi.
 
Kwa nini umeweka mawazo yako hayo huko
Kama unampenda deal nae the way alivyokuja kwako na wala usianze sana kumchunguza bata kala nini
 
Sidhani kama ni tatizo yeye kumpenda mwanamme mmoja tu kwani yawezekana amekuwa na wengine ili kujiegesha tu. si unajua wanawake hata wkimpenda mwanamume huwa hawasemi. nafikiri alimaanisha katika mahusiano amekua na mwanamume mmoja tu amabe alimpenda
Katika hilo inabidi uwe makini kwani hata wewe yawezekana hakupendi ila kwa sababu age imekwenda inabidi akubali. ni mtazamo wangu tu.
nakutakia mafanikio ktk mahusiano yenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom