Kwanini vijana wa kiume???

Bukayo jr

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
2,782
1,638
Nimegundua nowdays sio kama enzi za wazazi wetu yani watoto hasa wa kiume hawataki kuoa kabisaa ispokuwa wachache yani vijana wako radhi kubanjuka kila baada ya wiki katika malodge na mahotel lakini ikifika issue ni kuoa not interested...hebu tujuzane wana jamvi kwanini? Kuna reasons najua lets discuss
 
Haya vijana kujeni mtujuze nini mbaya mpaka hamtaki kuoa au mnatakakuitwa babu baada ya baba? au mnaona tabu kurudi nyumbani mapema? au hamtaki majukumu? semeni upesi Boss,Badili tabia, na wengine ebu tafadhalini tujuzeni.....
 
Lakini ukweli ni kuwa nilograduate nao they are so discouraging ukiwambia i want to marry soon yani wanaona eti unaharakia nini?
 
Lakini ukweli ni kuwa nilograduate nao they are so discouraging ukiwambia i want to marry soon yani wanaona eti unaharakia nini?

Wengi wao wako hivyo
Huwezi amini niliograduate nao miaka ya 2005 mpaka leo hawajaoa na wala hawafikirii wanasema bado wapo tuu
So wewe wa juzi wala usihangaike fuata mipango yako mkuu
 
Wengi wao wako hivyo
Huwezi amini niliograduate nao miaka ya 2005 mpaka leo hawajaoa na wala hawafikirii wanasema bado wapo tuu
So wewe wa juzi wala usihangaike fuata mipango yako mkuu

vijana wengi wanabanjuka saana thats why they dont see anythng new katika ndoa na mbaya zaidi wakiona walio ndoani kuna chaos ndo wanacapitalize ubachelor wao hapo hapo
 
Vijana wa siku hizi waoga wa kuface majukumu ya familia.
Ni uoga tu unawasumbua.
 
Imagine mtu yu radhi amzalishe binti mtaani lakini kuoa wee thubutuuu....
 
QUOTE=kashengo;2723581]vijana wengi wanabanjuka saana thats why they dont see anythng new katika ndoa na mbaya zaidi wakiona walio ndoani kuna chaos ndo wanacapitalize ubachelor wao hapo hapo[/QUOTE]
Mkuu kila mmoja ana nafasi yake kuijenga marriage yake iwe nzuri na wala bahati ya mwenzako sio yako
Ni jammbo la kumshukuru Mungu ukimpata mwenzako unafurahi
Wabanjuke tuu ila muda utakuwepo tuu lazima waingie kwenye issue ya marriage
 
Back
Top Bottom