I Miss U. Greetings from Bukoba Club

Bk club iko sehemu gani mkuu?kama iko Bk town basi wape salamu wa nyakanyasi na kashai
 
Ushaagiza ulimi wa kuchoma hapo?
au ka vipi aagize ile samaki ya foil,mtamu ka nini,lunch kesho akale matoke special kwenye ile cafe iliyoko opposite na uwanja wa mashujaa pale karibu na msikiti ,breakfast kwenye mgahawa wa elct.
maeneo mengine nyeti tutaelezana baadae.
 
mkuu ulizia tree inn kama bado ipo halafu unipe jibu.aah!..bukoba weee...!!sitaisahau miami beach na beach fulani ipo kule bandalini nyuma ya kiwanda cha kahawa (minaki) sijui kama ndo jina lenyewe.kipindi hicho kulikuwa na pamba disco bonge ndani ya nyumba.kila wkend unauliza pamba yupo wapi.umenikumbusha mbali mkuu.j2 tunakutana rumuli kanisani sijui lile kanisa kubwa washamaliza kulijenga!
 
kanisa bado, ika ndio lina kamilika
 
Usikose kwenda Q bar karibu na standi kuu ya ma basi,pale utapata totos za kila aina.
Ila hakikisha godoro lako lina plastiki.Week end njema.
 
Dah umenikumbusha mbali mkuu, bk club vipi lile pool kubwa snooker bado lipo bila kusahau ulimi wa kuchoma na sato wa kuchoma kwa foili.
Wakati naondoka huku kuna club moja karibu na uhamiaji na magereza ilikuwa matata kweli
Bila kusahau q bar na tbyatula kwenye taarabu
 
Back
Top Bottom