House girl hashikiki,hataki kurudi kwa wazazi wake kaingia mitini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

House girl hashikiki,hataki kurudi kwa wazazi wake kaingia mitini

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by figganigga, Oct 29, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,607
  Trophy Points: 280
  Ameamua kutoro na elfu22 saa mbili usiku.saa nee ikatolewa taarifa polisi.kesho tukampigia rafiki yake wa kiume kijijini kama ana taarifa nae.yule wa kajijini kasema amepigiwa simu na huyo msichana kaambiwa amkome kapata mchumba mwingine mjini mnyakyusa.kesho yake akaja mvulana analalamika mtoto wenu hataki kutoka kwangu.anasema mimi nlimwambia ntamuoa nikimaliza shule 2014 sasa kwanini mumemfukuza?alilala kwangu.tulivyoenda kumchukua arudishwe kwao tukakuta kashaondoka tena.wazazi wake wanamtaka mtoto wao
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  peleken picha yake ITV
   
 3. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,607
  Trophy Points: 280
  hamna picha yake hata moja.huyu mvulana itabidi ashiriki kumtafuta coz ndo alimfundisha tabia mbaya.
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  daaa pole sana mkuu hawa watu wanasumbua sana!
   
Loading...