Nina aibu mpaka najiogopa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina aibu mpaka najiogopa!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Perry, Oct 27, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Polen na kifo cha ghadaffi wakuu!!eti wadau,mimi ntakua na shida gani maana nina aibu mpaka najhc mim co binadamu wa kawaida,yani nikiwa naongea na mtu yeyote hata ndugu yangu wa damu cwezi muangalia uson ingawa kwa totoz huwa najitu2mua kiaina...sasa wadau hi k2 inasababshwa na nin na solutions zake ni zipi?
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  inawezekana utotoni ulikuwa na wazazi 'abusive'
  walikuwa wanakukosoa kila mara na kukufanya ujione unakosa hivi
  kukosolewa sana inakufanya usijiamini na ndo chanzo cha aibu
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  bahati mbaya cjawah ishi na watu wa namna hyo mkuu bt najishangaa 2 nko hv!
   
 4. Mlango wa gunia

  Mlango wa gunia Senior Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
 5. v

  valid statement JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  labda ni tatizo la kuzaliwa nalo. Babako je? Analo hili tatizo? Ndugu wa kuzaliwa nao wana hili tatizo?
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  hakuna ndugu yangu mwenye tatzo hlo mkuu.
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
 8. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  nenda hospital wakukate mshipa wa aibu.uhu msemo uwa nausikia sana may be utakusahidia
   
 9. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kama kwenye totoz mkuu unaweza kujikakamua, basi tumia principles hizo hizo kaka! Ukijitutumua mwezi mzima mfulululizo automatically utakuwa umepona.
   
 10. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,321
  Likes Received: 2,307
  Trophy Points: 280
  Kusanya maarifa mengi kichwani yahusuyo fields mbalimbali ili upate DHARAU POSITIVE ili uwe juu kupitia mawazo yako I swear hautakuwa mwoga tena.
   
 11. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kimsingi tatizo kama hilo kama wewe mwenyewe umelitambua inakuwa rahisi kulimaliza ima kulipunguza,,wewe mwenyewe jaribu kujijengea "confidence"huku ukiamini kwamba unaweza kila kitu!
   
 12. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hata mie nilikuwa hivo sijui imepoteaje ngoja nifikirie upate ufumbuzi
   
 13. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Huna tatizo lolote mkuu
   
 14. Triple A

  Triple A JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 750
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Hiyo mbona simple tu mkuu,piga kitu msuba a.k.a ganja aibu yote kwishneh!!
   
 15. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  kwakweli kitu cha r-chuga charii yangu kiko furuuu aisee..mboyoyo zote kureeee
   
 16. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kwa totoz unaweza kujikakamua kiaina na kwa watu wengine jikakamue hivyo hivyo ndo dawa hiyo.
   
 17. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  kama unakumbuka msaidie
   
 18. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Now this is BAD advice! Ulevi wowote hautakuondolea aibu,utajiaibisha tu!
   
 19. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ongeza maarifa ili ujiskie unajua kuliko mwingine,siwafichi wanajf huwa nikimwangaliaga mtu machoni lazima apepese macho yake hata boss wangu huwa namtupiaga eye contact mwenyewe huwa anaangalia pembeni,sina aibu kabisa halafu sura yangu ni ngumu kwa hiyo lazima ujipange unaponiangalia
   
 20. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hata raia wa Jamaica hawezi kutoa ushuri kama huu.
   
Loading...