Amri kumi za tychicus

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
1. USIWEKE PASSWORD KWENYE SIMU KWA KUMWOGOPA MWENZA AU MCHUMBA WAKO
2. USINDANGANYE UMRI ILI KUKUBALIWA
3. USIWE NA NYUMBA NDOGO
4. USIDANGANYE KUWA BIKRA WAKATI HUNA
5. USIFANYE MAPENZI KABLA YA NDOA
6. USIMTUKANE WALA KUMPIGA MWENZA WAKO
7. USIWE MKALI UNAPO KOSOLEWA NA MKEO
8. USITAMANI MKE AU MUME WA MTU
9. MPENDENDE MKEO KAMA NAFSI YAKO
10. MTII MUMEO KWA MOYO WAKO WOTE

UKIYAFANYA HAYA UTABARIKIWA ,UTAZAA MAPACHA HADI UTOSHEKE

NAWATAKIA MAISHA BORA KWA KILA MTZ
icon14.png
 
Nilivyomaliza kusoma nimejikuta naiangalia tena hiyo avatar...
 
Mume yeye hatakiwi kupendwa???

Anaweza kupendwa, lakini sio amri... amri ni kutiiwa... (kutiiwa..., tahadhari usisome haraka akashindwa kuona double i kwenye hili neno...)
 
Ingekuwa ukivunja hiyo ya tano hausamehewi milele, heheh......sijui kuni za jehanam zingekuwa na wingi gani aisee!!!
 
Ingekuwa ukivunja hiyo ya tano hausamehewi milele, heheh......sijui kuni za jehanam zingekuwa na wingi gani aisee!!!

Hheheheh, kipipi usiniambie na wewe ulisha vunja hiyo ya tano??
 
Back
Top Bottom