Kosa lile lile?......................why

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,476
1,225
Wadau habarini?.........
Kuna usemi wa kingereza usemao “The more mistakes one makes in life, the smarter one gets in life” ------ I ask if it s applicablle in mapenzi na mahusiano..............
Source: The Hill of Wealth
Kwenye mapenzi na mahusiano makosa mengi huendelea kujirudia kila leo, wapo wanawake/wanaume ambao tumejikuta kila tunapotafuta wapenzi huangukia kwa wanaume/wanawake ambao huishia kututesa na kutuumiza kwa style ile ile.

Mbaya zaidi ni pale ambapo tumeona wanandoa ambao wametoka familia zenye tatizo (wazazi kupigana, kuachana nk) nao wamejikuta kuwa na ndoa za aina hiyo hiyo.
Ingawa we
ngi tunaamini kwamba mahusiano yanapoenda vibaya yanaweza kusaidia kufungua macho ya muhusika ili siku akimpata mpenzi mpya aweze kujifunza na kutorudia kosa lilelile. Au kama ni mtoto atokaye katika familia yenye majeraha basi atatoka na mafunzo flani ambayo yatamfanya naye ayaepuke katika familia yake mpya.
Swali : Ni kwa nini inakuwa hivi?
Je ni kutokuwa makini? au kudanganyika na kitu mapenzi au ni nini hasa....................naombeni msaada wenu
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
87,753
2,000
Before I drop my two cents in the piggy bank, MwanajamiiOne, do you have any big plans for the weekend? It's the freakin weekend, you know. And I'm about to have me some fun....

Now back to the topic at hand.....(U still interested in the life coaching sessions)
 
MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,476
1,225
Before I drop my two cents in the piggy bank, MwanajamiiOne, do you have any big plans for the weekend? It's the freakin weekend, you know. And I'm about to have me some fun....

Now back to the topic at hand.....(U still interested in the life coaching sessions)

Uhn nothing on my plate yet...........whats yours?

hahahah bana life coaching sessions .....lets share it hapa bana.....will pay
 
The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,617
1,225
wadau habarini?.........​

kuna usemi wa kingereza usemao "the more mistakes one makes in life, the smarter one gets in life" ------ i ask if it s applicablle in mapenzi na mahusiano..............​

source: The hill of wealth​

[font= [COLOR=red]]kwenye mapenzi na mahusiano makosa mengi huendelea kujirudia kila leo, wapo wanawake/wanaume ambao tumejikuta kila tunapotafuta wapenzi huangukia kwa wanaume/wanawake ambao huishia kututesa na kutuumiza kwa style ile ile.[/COLOR] [/font]​

mbaya zaidi ni pale ambapo tumeona wanandoa ambao wametoka familia zenye tatizo (wazazi kupigana, kuachana nk) nao wamejikuta kuwa na ndoa za aina hiyo hiyo.

ingawa we

ngi tunaamini kwamba mahusiano yanapoenda vibaya yanaweza kusaidia kufungua macho ya muhusika ili siku akimpata mpenzi mpya aweze kujifunza na kutorudia kosa lilelile. Au kama ni mtoto atokaye katika familia yenye majeraha basi atatoka na mafunzo flani ambayo yatamfanya naye ayaepuke katika familia yake mpya.

swali : Ni kwa nini inakuwa hivi?

je ni kutokuwa makini? Au kudanganyika na kitu mapenzi au ni nini hasa....................naombeni msaada wenu

Hapo kwenye red wengi wetu huwa hatujifunzi from the past hata hivyo wengine hutumia nafasi ya kuumiza wenzao kwa vile na wao kwa namna moja au nyingine waliishaumizwa huko nyuma basi nae anatoa ngoja afanye hivyo bila kujali mwenzako amejitoa kwako namna gani

Kwenye bluu mara nyingi makuzi ya familia fulani na yenyewe huchangia kwa mwanaume /mwanamke naye kuhisi labda na yeye mbeleni itakuwa hivyo na ndio maana unaweza kukutaka mwanaume mwingine ni mgomvi sana ukiuliza unaambiwa amerithi kwa baba yake kwa kuwa naye alikuwa mgomvi

Hapo kwenye nyeusi mahusiano mpya huwa ni mazuri siku zote lakini wengi wetu huwa hatuendi na kuangalia yale makosa tuliyoyafanya kwenye mahusiano yetu ya nyuma yatasaidia vipi kuboresha mahusiano mapya unajikuta wengi tunaingia na tabia zile zile tulizokuwa nazo kwenye mahusiano yaliyopita.

Wengi wetu hatuwi makini na kuchunguza hasa yale makosa tunayofanya mara kwa mara tunayarekebisha vipi na wengine waamini kuwa uhusiano mpya utasaidia bila kuangalia huko nyuma ulikotoka kuna makosa gani ambayo unaweza kuyasahihisha ili usije ukarudi hatua mbili nyuma badala ya kwenda mbele
 
MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,476
1,225
Hapo kwenye red wengi wetu huwa hatujifunzi from the past hata hivyo wengine hutumia nafasi ya kuumiza wenzao kwa vile na wao kwa namna moja au nyingine waliishaumizwa huko nyuma basi nae anatoa ngoja afanye hivyo bila kujali mwenzako amejitoa kwako namna gani

Babu hapa nakubaliana na wewe lakini unadhani choices zetu nazo zinachangia?? Yaani kama mtu anapenda type flani za wenza mf. Ma yoo men, watoto wa town au mpenzi ambaye ni maarufu je hii haiwezichangia kujikuta anaumizwa kwa staili inayofanana?

Kwenye bluu mara nyingi makuzi ya familia fulani na yenyewe huchangia kwa mwanaume /mwanamke naye kuhisi labda na yeye mbeleni itakuwa hivyo na ndio maana unaweza kukutaka mwanaume mwingine ni mgomvi sana ukiuliza unaambiwa amerithi kwa baba yake kwa kuwa naye alikuwa mgomvi

Hapo kwenye nyeusi mahusiano mpya huwa ni mazuri siku zote lakini wengi wetu huwa hatuendi na kuangalia yale makosa tuliyoyafanya kwenye mahusiano yetu ya nyuma yatasaidia vipi kuboresha mahusiano mapya unajikuta wengi tunaingia na tabia zile zile tulizokuwa nazo kwenye mahusiano yaliyopita.

Wengi wetu hatuwi makini na kuchunguza hasa yale makosa tunayofanya mara kwa mara tunayarekebisha vipi na wengine waamini kuwa uhusiano mpya utasaidia bila kuangalia huko nyuma ulikotoka kuna makosa gani ambayo unaweza kuyasahihisha ili usije ukarudi hatua mbili nyuma badala ya kwenda mbele

Aksante.
 
The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,617
1,225
Babu hapa nakubaliana na wewe lakini unadhani choices zetu nazo zinachangia?? Yaani kama mtu anapenda type flani za wenza mf. Ma yoo men, watoto wa town au mpenzi ambaye ni maarufu je hii haiwezichangia kujikuta anaumizwa kwa staili inayofanana?Aksante.
Hapo nakubaliana na wewe unaweza kukuta mwanaume/mwanamke anapenda type fulani kumbe tabia za huyo mtu ni za ajabu kuliko maelezo tena hasa hawa wanaojiita watoto wa mjini ni vizuri zaidi kujiangalia na kuangalia yule ambaye utadeal vinginevyo unaweza kujikuta badala ya kuwa na furaha kwenye mahusiano yako kumbe ndio unazidisha kilio
 
Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,394
2,000
Nionavyo mimi mapenzi ni kama bahati kwani hayana mjanja, si proffessa wala Askofu, Shehe wote wanakumbwa na misukusuko ya mapezi. Cha msingi baada ya kuvunjika uhusiano usikurupuke kuingia kwenye uhusiano mpya kwani yakikukuta yaleyale utaumia sana, pata muda and tafakali
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
41,789
2,000
watu hufanya makosa yale yale
kutokana na kitu kinaitwa subcouncious......
kipo deep,wengi hatujui.....

halafu atraction huja yenyewe,huwezi kui control....

unachotakiwa kufanya ni kujua weakness zako kwanza halafu ndo uanze kutafuta
mtu mpya.
 
FM stereo

JF-Expert Member
Oct 8, 2011
206
225
Nionavyo mimi mapenzi ni kama bahati kwani hayana mjanja, si proffessa wala Askofu, Shehe wote wanakumbwa na misukusuko ya mapezi. Cha msingi baada ya kuvunjika uhusiano usikurupuke kuingia kwenye uhusiano mpya kwani yakikukuta yaleyale utaumia sana, pata muda and tafakali

kasoro mapadri na masista tu.
Misukosuko yao ni michache mana wanaibia ibia kumeganana huko mitaani.
Wengine wengi tunapata misukosuko mingi tu.
Na hatujifunzi kupitia past mistakes.
 
nyumba kubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
10,313
2,000
Smart people learn through other people's mistakes.

Ila kwenye swala la mapenzi sijuhi kama hii misemo ya learning ni relevant nadhani ni more relevant kwenye issues nyingine.

Ukiwa very careful, a no mistake man/lady unaweza usipende kabisa maishani.

Ndio maana kuna watu ambao wanataka ku apply hizi theory tunawaona wanaishi maisha yao yote bila commitment.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom