Mpenzi wangu hataki jina nililompa mtotowangu wakiume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpenzi wangu hataki jina nililompa mtotowangu wakiume

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MWAGONA, Oct 23, 2011.

 1. MWAGONA

  MWAGONA Member

  #1
  Oct 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani nisaidieni huyu mwana mke simuelewi sijui ndo usomi mimi na yeye wote tume graduate mwaka jana.mkewangu akiwa na mimba tulielewana kuwa akiwa mtoto wa kike jina amchagulie yeye na akiwa wakiume jina nitampatia mimi.tatizo likaja baada ya mtoto kuzaliwa akazaliwa mtoto wa kiume me nilikuwa mbali na yeye alikuwa mbali coz tumeajiriwa mikoa tofauti. Nilipo mtajia jina alikubali but baada ya siku mbili ana niambia yeye atamuiata jina lake ambalo ni jina la kaka yake la kwangu ana niambia ndugu zangu ndo wamuite hili la kwangu. Ivyo hadi saizi mtoto wangu wana muita jina hilo ambalo mimi pia silitaki nisaidieni jamani
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  pole sana...taja na majina yenyewe basi
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli itakua vigumu sana kubadilisha maana unaweza kumpa jina likawa la makaratasi tu, ila hilo la mama ndio litabaki kua jina la mtoto. Ongea nae kwa upole umwambie how important it is to you labda atabadilisha mawazo
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo mtoto ana majina mawili saizi, la mkeo na la kwako ambalo wewe ndiyo utakalokuwa unamuita na ndugu zako! Na nikuulize kitu, kwenye tangazo la kuzaliwa toka hospitali aliandikisha lipi? All in all inawezekana mkeo anekataa kumuita jina lako kwa sababu ya jina lenyewe labda linaweza kuwa baya kwa maana ya kilugha au kimantiki labda ili kukata mzizi wa fitna weka jina la mtoto lililokataliwa.
   
 5. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #5
  Oct 23, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  iliwahi kutokea kwa rafiki yangu mmoja hali kama hiyo na walikubaliana hata majina mapema kabla mtoto hajazaliwa. Baada ya kuzaliwa mtoto mwanamke aakataka jina libadilishwe na lisiwe lile walilokubaliana mwanzo, mume akawa mgumu na akakomaa kuwa lazima mtoto abatizwe jina walilokubaliana na baada ya ubishi wa muda mrefu mume akashinda. Baada ya miezi mitatu au minne kupita, mume akafuma message ya mwanaume mwingine katika simu ya mkewe na ktk msh hiyo huyo mwanaume alikuwa anamlaumu demu kwa kukataa kumbatiza mtoto jina ambalo yeye (huyo mtuma msg) alilichagua na akakubali jina lililotolewa mume mwenye nyumba. Chunga sana kunaweza kuwa na kitu hapo. huenda hiyo mimba ni ya watu wawili (kila mmoja analea kwa wakati wake na kila mume na jina lake la mtoto)
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ni angalizo zuri sana mkuu, kuna haja ya kujiuliza mara mbili mbili ikizingatiwa jamaa wako mbali kimtindo!
   
 7. Bushloiaz

  Bushloiaz JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Nakuunga mkono kaka,wanawake wana mambo yao wakati mwingine hushangaza kidogo,nakumbuka wakati niko chuo kuna demu aliniambia alikuwa na jamaa anampenda sana wakaachana lakini demu alisema lazima amwite mtoto wake jina la huyo zilipendwa wake,kwa hiyo hapa kwa mshikaji inawezekana kukawa na scenario mbili,hii ya zilipendwa ama jamaa kachakachuliwa
   
 8. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  unatakiwa kutia mashaka juu ya uhalali wa wewe kuwa baba wa huyo mtoto. kuna kitu kimejificha. ktk kuishi kwako na huo u graduate wako, uliona wapi mtoto anapewa majina mawili eti moja la baba na ndugu zake , na jingine la mama???. lakini pia uulize ndugu zako, ni wapi mama anakataa jina la mtoto litolewalo na baba pasipo na sababu?? na kama mpenzi wako hataki jina ulilotoa mwanzo, akupe nafasi ya kutoa jina jingine na si yeye kulazimisha jina lake.


  mimi niliwai lea mimba, siku mwanamke anajifungua ndo nilipofunguka, kumbe kulikuwa na mwenzangu pembeni, na akili ilikuja pale kwenye kutoa jina la mtoto, mimi nilikuwa na jina na mwenzangu alikuwa na jina. siwezi kuelezea hapa, nashukuru siri aliitoa dada wa huyo mwanamke kwani huyo dada alikuwa akinihurumia jinsi nilivyokuwa naburuzwa ktk jambo ambalo hata sikuhusika.

  lakini yote ya yote hata kama huyo mtoto ni wako, bado huyo mpenzi wako unatakiwa ku m angalia kwa uangalifu kwani ni mtu ambaye anaweza asifae ktk ndoa , kukataa jina la baba wa mtoto pasipo sababu ni jambo gumu kidogo. tunatambua akina mama ndo wanapata uchungu kutuzaa, lakini siku zote akina mama wanajivunia wababa wa watoto zao. ishara moja ya kumfurahia mzazi mwenzio ni kumruhusu tu apendekeze jina la mtoto. cha ajabu wewe jina lako unaambiwa ni lako na yeye analake - tatizo hilo
   
 9. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  vip mkuu umemwita mtoto LYAMBA LYA MFIPA nini mana hata mkeo lazma agome hapo
   
 10. N

  Ngo JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  MWAGONA; Jamani nisaidieni huyu mwana mke simuelewi sijui ndo usomi mimi na yeye wote tume graduate mwaka jana.mkewangu akiwa na mimba tulielewana kuwa akiwa mtoto wa kike jina amchagulie yeye na akiwa wakiume jina nitampatia mimi.tatizo likaja baada ya mtoto kuzaliwa akazaliwa mtoto wa kiume me nilikuwa mbali na yeye alikuwa mbali coz tumeajiriwa mikoa tofauti. Nilipo mtajia jina alikubali but baada ya siku mbili ana niambia yeye atamuiata jina lake ambalo ni jina la kaka yake la kwangu ana niambia ndugu zangu ndo wamuite hili la kwangu. Ivyo hadi saizi mtoto wangu wana muita jina hilo ambalo mimi pia silitaki nisaidieni jamani.

  [HR][/HR]
  Mkuu hapo kazi naona ipo, siyo mambo ya ugraduate ni ulimbukeni tu na ushauri anaopewa na marafiki maana kuna wanawake wana elimu zaidi ya hiyo na wana heshima kwa waume zao. Sipati sipati picha mtoto wangu nimpe jina alafu wife naye atoe lakwake alafu akamae nalo. Naona ni kukosewa heshima kama baba wa mtoto. Mbaya zaidi huyo mtoto wenu ni wa kwanza ambapo katika hari ya kawaida baba anapaswa ampe jina regardless whethe is a girl or a boy. Na kwanini ampe jina kama la kaka yake, kulikoni? Kuwa, analipenda sana jina la kaka yake au kuna mtu wa pembeni ambaye humjui anashare the same name na kaka yake hivyo anachukulia kama ukuta wa kuficha usiyoyajuwa. Mkalishe chini mwambie yeye kama mke wako anapaswa akupe heshima pia kwenye maamzi. Huko nyumbani kwao mama yake alimpa jina mwanae wa kwanza nini ndo maana anataka kuleta mambo ya nyumbani kwao mpaka kwenye ndoa yenu? Tena ningekuwa mimi naenda kumbatiza kabisa huyo mtoto, kama ni shuleni naenda kumwandikisha pia jina nililompa mimi maana kama baba wa familia ni mimi nayelipa karo. Kwangu mimi hiyo ni dharau na kuleta mashindano kwenye ndoa.

  Ikiwezekana Ongea na wazazi wake uwambie jinsi gani unavyojisika mwanao kutoitwa jina ulilompa wewe. Kama ni mtoto wa pili hapo unaweza kumwacha wife naye ampe jina analolipenda yeye, lakini huyo wa kwanza angepaswa kuheshimu wewe kama mumewe umpe jina. Mweleweshe tu jinsi gani unavyojisikia, ataelewa au angesema umpe jina lingina kama hilo halipendi. Akikomaa basi na wewe shikilia msimamo wako kama mwanaume hakuna kulegeza.
   
 11. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mfamishe kwa upole na mapenzi kua furaha yako wewe nikuona mtoto anaitwa jina unalolitaka wewe na muombe aheshimu mamuzi yako ukiwa kama Baba wamtoto,kua mtoto sio wako kama amezaliwa ndani ya ndoa yako basi nimwamnao na usijitie Bp kwa maneno ya watu....
   
 12. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mmh! changanyeni herufi za majina yote mawili then mpate moja ndo mmuite mtoto
   
 13. F12

  F12 Member

  #13
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwanin avunje makubaliano? Mlikosea kitu kimoja, mngeyachagua kabisa majina kama hataki alikatae kabla kiumbe hakijaja ili ubadili jina alipendalo na yeye, kama vp kaa nae uongee nae taratibu na kumweleza furaha yako kumtajia jina mwanao wa kwanza kama hilo halitaki akupe chance tena uchague jina jingine usichoke kuchagua majina mpaka aridhie yeye lakn kinacho wewe ndo uchague jina la mwanao coz mlikubaliana kabla, lakn pia jitahidi mfikie maridhiano na makubaliano ya aman na sio mtoto awe chanzo cha nyie kutoelewana na kuteteresha aman ya ndo yenu ukizingatia ni mtoto wa kwanza. Hilo ni tatizo, tumia uanaume wako na ukichwa wa familia ulonao kutatua na sio kulumbana au kugombana pia 2pilia mbali kuwa kuna ki2 kimejificha nyuma ya pazia na ikishindikana ndo waweza hisi hvo na ufuatilie mwanzo mwisho kwa ukaribu kuepa kununua mbuzi ktk gunia.
   
 14. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Mimi nina majina manne na hili la ELLI ni la tano sasa na yote imebidi niyatumie kwenye vyeti na imenisumbua sana, sina jinsi sasa na wewe angalia uwezekano, nikienda kwa bibi upande wa baba nina jina lingine, kwa upande wa mama pia, darasani lingine na kanisani lingine! sijui kosa langu nini au kwasababu ni mtoto wa mwisho labda
   
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,492
  Trophy Points: 280
  itakuwa hilo jina kapewa na baba halisi wa mtoto
  si umeseme mko mikoa tofauti
  sasa unashangaa nini tena.
   
 16. MASELE

  MASELE JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 705
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Hata mimi nalikuwa na wazo kama hilo maana mnaelewana mwishoni ndo mnashindwana, na mmwanamke mwenyewe ni mpenzi na mimba yawezekana ameipata mkiwa chuo duuuuu! hapo jaribu kuwa makini kidogo
   
 17. roby2006

  roby2006 JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 399
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kwetu hakunaga hayo maugomvi ya kugombania majina ya kuwaita watoto inajulikana kabisa kwamba mtoto wa kwanza kama ni wa kiume ataitwa jina la babu yake mzaa baba
   
 18. bulldoza

  bulldoza Senior Member

  #18
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkumbushe mkeo ahadi zenu na akueleze mambo ya kumuita jina la kaka yametoka wapi? ningekuwa mimi ni wewe ningemweleza huyo mtoto kama ni wangu aitwe fulani kama si wangu muite unavyotaka (hakikisha jina lako ulilotoa lina maana nzuri)sio yale sijui... mawazo,sikujua etc
   
 19. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Yeah kama ni mpenzi ; huna chako hapo na kama ni mkeo KOMAAAAAAAAAA MPAKA KIELEWEKE usije lea mwanaharamU
   
 20. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Unganisheni majina kama andre villas-boas
   
Loading...