Chorus:
Wish I could keep you much longer
I know you gotta go, cause you got things to do
Wish I could keep you much longer
Now you too busy for me girl, like I was to you
Wish I could just stop...
Hawa wenzetu wanapenda sana vya bure, na kudandia wanawake wenye uwezo.
Ukiwa naye utamnunulia vipodozi, nguo tena hadi ndani, atakuomba na hela ya daladala na ya kula pia.
Unampendezesha...
Hivi dada zetu,mmeshaona kuwa na mabody makubwa aka mahipsi yakichina ndo tutawapenda sana?.Naomba samahani kwa wale waliozaliwa hivyo.naongelea hawa wakichina.Unakuta mtu alikuwa Miss baada ya...
Wapendwa wa jukwaa hili pendwa la MMU,
Ningependa kuchukua fursa hii kuwajulisha kwamba, mwenzetu Lily Flower amefiwa na kaka yake wa kuzaliwa.
Tukiwa kama rafiki zake, ndugu zake, tuungane nae...
Wama JF naomba ushauri wenu, mwanamme kuomba pesa kwa mpenzi wake, ni sawa?
Nina mpenzi ambaye kutwa ana shida yeye, mimi sijawahi kumuomba, lakini yeye ndio kila siku ana matatizo ya kutaka...
muda umekwenda sana,kila ninayekutana naye ana mapungufu ambayo siwezi kuyavumilia
huyu niliye naye ni wa mwisho,nitakaa na wale watoto wangu niliozaa na wale wamama wengine na kuwalea
nafikiri ni...
Penzi halina dawa, penzi halihusiani kabisa na kufanya ngono (hivyo kubinuka aina nyingi za mibinuko haina maana ndio utapendwa au unapendwa zaidi) penzi huja kiasili huhitaji kulazimisha wala...
My friend John always has something to tell me. He knows so much that young men have to have older and more worldly wise men to tell them. For instance who to trust, how to care for...
She was sitting there. in the front row of the classroom.. She was the hyperactive chatty gal that I would love to loathe...
At first sight, there was simply nothing...
habari wana jf kuna kesi imelwetwa hapa kwangu niweze kutoa ushauli ila kabla ya sijatoa ushauri nimeona nipokee ushauri kutoka kwenu wana jf kuna kaka mmoja ni jilani yetu ameoa na ana mtoto...
Madada zetu wengi sana wanajichubua ili wapendwe, au kwa akili zao ili wawe wazuri zaidi. Lakini mbona weupe hawavutii kuliko weusi!!, madada weusi hasa wenye rangi ya chocolate jamani wanavutia...
Limeibuka wimbi la ndoa kufungwa huku wanawake wakiwa na mimba, je wanawake wanpenda ku do kabla ya ndoa au wanafata mkumbo wa wanaume.kama wanapenda why.
Hey girl Hey girl ooh
Girl I just dey wonder
I still dey wonder
Make you take me as I am
I just dey wonder
VERSE 1
See e get this girl for my hood
Understanding I wish I could
Treating me this...
Ukimnyoshea mtu mkono kumpiga unaweza ukaurudisha angani au kuukwepesha usimpige au usimpate. Hata hivyo ukilitoa neno ambalo hukulimaanisha na likampata mwenzio huwezi na hauna jinsi ya...
Shikamoon wote!!ebana,juzi kati nilileta thread hapa nkielezea matatzo yangu na my gal,kwamba hapokei cmu wala kujbu txts zangu,nikapewa ushauri na wadau wa nin cha kufanya ktk kipindi kile...
"With You"
[x2]
I need you boo, (oh)
I gotta see you boo (hey)
And the hearts all over the world tonight,
Said the hearts all over the world tonight
[Verse 1]
Hey! Little mama,
Ooh, you're a...
Yani unakuta demu umemtongoza tu hata wiki bado,mara anaanza kuomba vocha,mara hela ya kusuka,jamani yani ndio umenikubalia tu na hayo ndo yanaanza? Hii ikoje jamani?
Jaman leo hii na mda huu ninaoandka hii thread ni kama dakika 20 hv zmepita nimetoka kukutana na mdada m1 hv hapa m.city cmjui wala hanijui nkamfuata na kupga nae story sana tu nkamchekesha sana...
Sababu za Kusaliti Pendo
*Kutopata mapenzi ya kweli hasa ikiwa Kijana/Binti alilazimishwa kuoa/kuolewa na mtu ambaye hakumpenda for the sake of Radhi ya Wazazi, maadili, kuhofia umri n.k...