Kwenda nje ya Ndoa/UMALAYA(Sababu za Kusaliti Pendo) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwenda nje ya Ndoa/UMALAYA(Sababu za Kusaliti Pendo)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jpinduzi, Nov 11, 2011.

 1. Jpinduzi

  Jpinduzi Senior Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sababu za Kusaliti Pendo
  *Kutopata mapenzi ya kweli hasa ikiwa Kijana/Binti alilazimishwa kuoa/kuolewa na mtu ambaye hakumpenda “for the sake of Radhi ya Wazazi”, maadili, kuhofia umri n.k..
  *Uchafu, kutojijali au kujipenda.-Wote mwanaumena mwanake.
  *Kutoridhika au kutosheka na wakati mwingine uroho tu- Wanaume zaidi.
  *Mmoja wenu kuwa na shughuli nyingi za kikazi/Biashara, kusafiri – Wote mwanamke na mwanaume..
  *Tamaa ya kumiliki vitu Fulani –Wanawake zaidi.
  *Kujaribu na kujifunza mambo mapya/mitindo lakini kutokana kufuata maadili unaogopa kuwa wazi kwa mpenzi wako-Wake kwa waume..
  *Kukosa tendo la ndoa kwa muda mrefu ikiwa mwanamke ana Mimba kubwa /amejifungua n.k-Wanaume.
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Orait wataka tusemeje haswa?
   
 3. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kuishi mikoa/nchi tofauti
  kuoa kwa haraka alafu baadae kupanda economical ladder na kumuona mwenzio sasa sio level yako
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ulisahau hapo kwenye bold!

  sababu nyingine ni roho mbaya na ukatili usiokuwa na maana wa kutomwambia ukweli mwenzio ikiwa penzi kwake limeisha!
   
Loading...