Habari zenyu ndugu zangu,eti kwenye viapo vyetu vya ndoa hamuoni busara wakiongeza maneno yafuatayo: "sitaacha usiku upite nikiwa na hasira juu yako". Nimeona tu kwamba mara nyingi wanandoa...
watu wengi hawajui bikira yaani kale kautando kwa akina dada kana maana gani na imefikia pahala watu wanao ulizia kwa sasa kuonekana washamba. .Ukweli ni huu siku za nyuma ilikuwa ikitiliwa mkazo...
Police have arrested a woman in Pakistan on suspicion of murdering her husband, chopping his body to pieces and boiling it in a bid to get rid of the evidence.
Zainab Bibi, 42, allegedly told...
Habari za mchana wana MMU! Mchana huu nimeshirikishwa jamba na kaka yangu (tunafanya kazi wote) ili nimshauri na mimi nikaona kabla sijamshauri chochote ngoja nipate mawazo ya wapendwa wangu hapa...
Porn dominates the internet in terms of hits and income and now its changing the way people have sex. Thats because the only sex education many people get is from pornography. Cindy Gallop...
Wapendwa wana MMU hasa ınfıdelıcıous naomba tuıtafakarı hıı sms alotumıwa ınf.mwenzenu;
"Enough is enough, kumbe ambacho huwa unakifanya ni...
WADAU, naomba ushauri na mawazo yenu juu ya suala la kupekua (kukagua) simu ya mpenzi wako coz mwenzenu limezidi kuniumiza mara kwa mara!
Nikipekua cm yake sometime naumia mwenyewe, nikisema...
Hebu tuchukulie kwamba, una mwanaume ambaye hamjaoana, lakini ndiye unayemtegemea kwa kila kitu. Amekuwa akiwasaidia sana ndugu zako ili wafikie malengo yao katika maisha, na anajitahidi sana...
Nimerudi tena na shukrani zangu za dhati kwenu MMU,
Bila shaka mliosomaga mada yangu ya nyuma mnanikumbuka sana, nimerudi kumishukuruni nyooote mliochangia mawazo yenu ukweli mlinifariji...
Jamani wana jf naombeni ushauri kuna rafiki yangu alikuwa ana mchumba wake yaan gf ila huyo gf wake alikuwa ni binamu yake na wote walikuwa wanalitambua hlo ila sasa mshkaji akaona bora amuache...
Kuna watu kila thread yeye anacomment kuanzia asubuhi hadi jioni. Utakuta kwenye thread moja mtu ana comment zaidi ya 20, halafu amecoment thread 20 au 30. kwa wastani kila dakika anakuwa...
Heshima yenu wakuu.
Mimi nilijua wavulana ndio wanao tongoza wasichana. Lakini hii tabia ya kutongozana wasichana kwa wasichana sijui imeanza lini. Mtu unajua kabisa huyu ni mke wa mtu lakini...
wanawake tumekuwa ktk mstari wa mbele kudai HAKI na FURSA SAWA kwa wote (50% kwa 50%) mbona majukumu ya familia tunayakwepa??? tena na majina kibao ya kuwadhalilisha wenzi wetu, (sharobaro...
Habarini wana MMU
nimefanya analysis nimegundua vijana wa zama hizi ndoa zao ni nguvu ya soda wanaachana fasta kwanin?
Mfano. Bro wangu mmoja ni tutorial assistant pale SUA alimuoa class mate...
Nimatumaini yangu makubwa mwana JF unaendelea vizuri, kwani bila hivyo usinge upata wasaa wa kuipitia thread hii kama ifuatavyo:-
Umekutana na huyu mpenzi mpya kwa mara ya kwanza kabisa mko...
Jaman maGREAT THINKERS naomben msaada wenu wa Mawazo;
Kuna binti niliongea nae aje Gheto tupate kujuana vizuri, sasa tatizo ni kwamba naomben mnisaidie maneno ya kumweleza mpaka akubali kunivulia...
Hakuna sugu katika mapenzi kila mtu atapata mjanja anayempenda uvumilivu,subira ni vitu muhimu katika mapenzi,watu wengi huona wenzi wao hawafai pale tu wanapo wakosea huamua kuwaacha lakini tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.