Mimi kuoa basi tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimi kuoa basi tena

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by rosemarie, Nov 11, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  muda umekwenda sana,kila ninayekutana naye ana mapungufu ambayo siwezi kuyavumilia
  huyu niliye naye ni wa mwisho,nitakaa na wale watoto wangu niliozaa na wale wamama wengine na kuwalea
  nafikiri ni kosa kubwa kuishi miaka mingi bila kuoa!!!!!!shunguliiiii lakini nitaweza!
   
 2. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hiyo nyekundu inaonesha hata wewe hujatulia so hiyo ni sufuria na mfuniko lazima mvuke ubaki ndani.au waswahili wasasema ngoma drooooo!
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mchagua nazi mwishowe huchagua ...........................??????????
   
 4. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kama una watoto..... sio lazima!!! oa usiku asubuhi talaka!!
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nitalea hawa watoto wakikua watanilea,potelea kule
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  jichunguze, inawezekana wewe ndo mwenye tatizo
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  taratibu mkuu
   
 8. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  bebii ongeza sauti sikuskii!plz!!
   
 9. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  pole mtendwa!! yanatokea ktk maisha!
   
 10. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  koroma.Nalog off
   
 11. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  pole sana my friend wangu,angalia shilingi upande wote halafu ng'amua.Nalog off
   
 12. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,997
  Likes Received: 2,652
  Trophy Points: 280
  Mkuu kuishi na mwanamke ni kazi sana,inahitaji moyo wa ujasiri na uvumilivu wanawake wana maudhi sana,haitakiwi uwe legelege ukitaka kuishi vizuri na mwanamke,haitakiwi akuelewe tabia yako kiundani pamoja na mapungufu yako,unatakiwa uwe kinyonga halafu uwe ni mtu wa kujiamini,usiwe mtu wa kukata tamaa hata kama jambo liko juu ya uwezo wako ukilishindwa ionekane ni bahati mbaya tu......................................................
   
 13. m

  majogajo JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  da smile rangi uliyotunia kuandikia imenimiza machoooo...........
   
 14. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Pole sana episodes! Kwani ulikuwa na wangapi? Mvumilie tu huyo unaemwita wa mwisho muweze kusaidiana kulea hao watoto ingawa raha kamili ya mtoto hupatikana kwa mama yake mzazi na sio mama wa kambo.

  Namshukuru sana mama kwa kutulea vizuri na hakutuacha tulelewe na mama wa kambo kwani sidhani kama mama wa kambo ana uchungu juu yetu km ule alionao mamangu mzazi.
   
 15. M

  Museven JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 22, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  unalog off mara ngapi? Unatuchefua bhana na kamsemo kako
   
 16. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Life is how you make it enjoy yourself broda!
   
 17. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mweh!))))))))))))
   
 18. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Jamani sweetie lil sister, sasa hii crazy colour ya sisiem ndo nini jamaniii?
   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,572
  Likes Received: 82,080
  Trophy Points: 280
  Hakuna binadamu asiye na mapungufu Mkuu. Nina hakika hata wewe kama binadamu una mapungufu yako. Ingekuwa waoaji wa waolewaji wote wanatafuta asiye na mapungufu hapa duniani basi kusingefungwa ndoa hata moja. Kila la heri katika maamuzi yako.
   
 20. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kaka chako mwenyewe KABURI hakuna mke wa peke yako wala mume wa peke yako.
   
Loading...