shemeji na wifi

rweyy

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
229
146
habari wana jf kuna kesi imelwetwa hapa kwangu niweze kutoa ushauli ila kabla ya sijatoa ushauri nimeona nipokee ushauri kutoka kwenu wana jf kuna kaka mmoja ni jilani yetu ameoa na ana mtoto mmoja kuna mdogo wake wa kike katoka kijijini kaja kwake ili amtafutie shule asomee huku mjini kamaliza kidato cha nne ila hapa nyumbani kuna kaka yake na mkewe huwa anakuja siku za weekend huyo shemejie yuko chuo ila kila weekend lazima aje pale nyumbani sasa huyu kaka alipigiwa simu na mdogo wao wa mwisho aliyeko kijijini kuwa huyu dada anaeishi nae hapo kwake ana uhusiano wa mapenzi na shemejie baada ya uchungunzi wa huakika kakuta ni kweli na baada ya kumuuliza dada kakubali ni kweli sasa afanyeje? mkewe akiulizwa wafanyeje ni kulia tu kwamba kaka kaniabisha. kumuzuia shemeji asije pale anashindwa maana shemeji na mkewe kwa sasa hawana wazazi.huyo shemeji anamuona dada yake kama baba na mama kumurudisha dada kijijini hatakwoswa elimu. akiendelea kukaa hapa uhusiano utaendelea .ninaomba ushauri kipi kifanyike
 
waitwe na wasomee hati ya mashitaka na kupewa ushahidi kibao....................wapewe nafasi ya kutoa udhuru kam kama upo..................na waweke mipango yao ya baadaye bayana isikike na kueleweka...................sijui wana umri gani.................ninahisi wote ni zaidi ya 18.......................baadaya ya kukamua hizo taarifa utakuwa kwenye nafasi ya kuwashauri au kutujuza ili tukushauri......
 
sasaaa...ninii cha ajabu,wote vijanaaa.mwambie mwambie huyo aliekuletea kesi apige kimyaa,na huyo dadaa analia nini kahaibishwaaa,kwani nini kitu cha ajabu hapo.then dogo shujaaa kakandamizaa malii za shemeji yake cse dada ake na yeye kakandamizwaa,malii kwa malii hainaa ubaya..tahadhari jamaa awambie wasiwe wanafanyia kwenye bed lake
 
kuna jamaa aliwahi kumkandamiza bibi yake alipobanwa akasema analipa kisasi kwa dingi yake kwa nini anamkandamiza mama yake na yeye anamkandamizia mama yake(bibi)
 
yani kesi imekuja ww ukaamua kuwasha laptop yako au simu yako wakati munaendelea kutatua kesi ww unatype huku loh! kweli we noma ...........
 
Hakuna tatizo hapo. Hakuna sheria ya dunia wala vitabu vya dini vinavyokataza hao watu kuwa mtu mke na mume kama wakitaka. Pia kuna watu wengi tu wameishia kuoana katika hali kama hiyo. Mimi binafsi nawajua jamaa wawili. Kaka na dada walionana na baadaye mdogo wa kike wa mume akaolewa na mdogo wa kiume wa mke. Tena moja ilikuwa ni harusi ya kanisani kabisa na sasa wanafamilia na wanaishi vizuri.
 
Back
Top Bottom