Asanteni sana wana MMU.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Shikamoon wote!!ebana,juzi kati nilileta thread hapa nkielezea matatzo yangu na my gal,kwamba hapokei cmu wala kujbu txts zangu,nikapewa ushauri na wadau wa nin cha kufanya ktk kipindi kile kigumu,bt namshukuru mungu shemeji/wifi yenu leo kanitafuta,tumeongea mengi na amenisamehe,so maisha yanaendelea ka kawaida..mbarikiwe sana.
 
Ishi kwa akili na huyo mtu. Daima ukusanye nguvu ya kutokata tamaa na usitarajie mengi kupita kiasi toka kwake.
 
hapo sasa ndipo unapokosea,wakati unasubiri hiyo ndoa wenzako watakuwahi,omba mzigo uburudike na dunia kaka.Nalog off

Usimdharau kila mtu, uliambiwa mdada wa watu ni mgawaji sana? Mbona mnakuwa na madharau kiasi hicho?? Tabia mbaya na sio busara kabisa! Angekuwa ni dada yako ungemuongelea maneno kama haya kwa shemejio? BTW, kukomalia watu wafanye mapenzi kabla ya ndoa, hayo ndo maadili mema mnayoyapigia kelele?? Nasema haya kwa sababu anayesoma hapa sio senetor peke yake, hata watoto wenu na wadogo zenu wanaperuzi as guests, so siku mkisikia wanaelimishana upupu kama huu msiwalaumu!
 
Hongera sana mkurugenzi kwa kumaliza mgogoro kwa mafanikio.Ila pole sana kwa kupita katika kipindi kigumu cha mpito kuelekea muafaka.
 
Back
Top Bottom