Wanawake wanaipenda hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wanaipenda hii?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by yahoo, Nov 9, 2011.

 1. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,254
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Limeibuka wimbi la ndoa kufungwa huku wanawake wakiwa na mimba, je wanawake wanpenda ku do kabla ya ndoa au wanafata mkumbo wa wanaume.kama wanapenda why.
   
 2. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ni bahati mbaya tu !!
   
 3. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hakuna mtu anapenda kununua au kununuliwa bila kutest.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Nov 9, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,267
  Likes Received: 27,928
  Trophy Points: 280
  Hmm okay
   
 5. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hatupendi ila ni mazingira tu,ni njia ya kuwa more secure baba nanilii atanioa coz wengine hawaeleweki jamani,
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,534
  Likes Received: 21,013
  Trophy Points: 280
  ki historia gauni jeupe la bibi harusi
  lilikuwa linavaliwa kwa bi harusi 'bikira tu'
  sasa go figure....
  wengine wanavaa na kitambi kimeshatoka nje....lol
   
 7. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  hakuna mtu anataka mimba loh!
   
 8. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,043
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Moja ya dhumuni kuu la ndoa ni kupata watoto kwa hiyo si vibaya kuanza kuwatafuta mapema!Na wengine huwa wanataka ku prove kama mayai yanarutuba.
   
 9. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,816
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Ndo mwanzo wa problem bin matatizo; sasa kwa nini uoelwe na usiyemwelewa! Tutakusamehe akichange ghafla na hukujua; lakini hii ya wewe kujua fika kwamba jamaa yako utulivu ni 0; thenn unamimbika kisha unaolewa aaaaaaaah!
   
 10. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,971
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280
  kwanza kabisa mwanamke ndio ana final say kama mimba inapatikana au lah! kama demu hataki mimba bwana muzee utakuwa unatwanga maji kwenye kinu!!...sasa kama demu ana akili bwana yoyote anayetaka kweli kukuoa hawezi kuleta abo ya kwamba eti pata mimba kwanza ndio nikuoe. wee cha msingi aakachofanya ni kwenda checkup basi.
   
 11. KAPERO

  KAPERO Member

  #11
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kina dada wajanja sana siku hizi. akiona una mwelekeo wa kuoa na huku una sogeza kalenda, anaamua kukuachia ili aharakishe Ndoa. mimi

  yalinikuta hayo.. na kweli sikuwa na namna ilibidi nitangaze ndoa haraka kabla kitambi hakijapata umaarufu.. nilifnya sherehe ndogo na ya maandalizi mwezi mmoja. namshuru sana mke wangu kwa ajili hiyo. sikua tayari kuoa mapema.. pia nashukuru sana alikua mwelewa hakutaka makuu tulifanya harusi ya garama ndogo haikusumbua watu kwa michango. bora ndoa harusi mapambo tu. mungu akitujalia uhai mwaka ujao tatatimiza miaka sita ya Ndoa na kwa uweza wa Mungu tutakua na mtoto wa pili pia.
   
 12. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  kwa hiyo unataka nini sasa, nini maana ya kuoana? kama ni kula bure si umekula kwa wazazi wako, huku kwa mwanaume ni 'kazi' tu, huwezi rudi kwenu kafundwe upya, eboooooooooo!
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,045
  Trophy Points: 280
  vijana wa siku hizi hawaoi mpaka wahakikishe kuwa kapu halijatoboka
   
 14. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #14
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,098
  Likes Received: 3,866
  Trophy Points: 280
  watu wenyewe hawashauriki,
  wanabenjuana, then ndo wanafanya harusi,
  kikwetu walitakiwa wabariki ndoa tu.
   
 15. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #15
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,296
  Likes Received: 4,731
  Trophy Points: 280
  hahaaa....!!nafikili wasichana wamejijengea kwamba wakipata ujauzito ndo wanaolewa.mimi mtu akinifanyia uhuni wa aina hii namuacha ajifungulie alipopatia hiyo mimba.haiwezekeni wasichana muwe mnatuhalibia maisha kwa tamaa yenu.na hii ndo inasababisha watoto wengi kukosa baba zao/watoto wa mitaani.acheni hizo baana...!sio ishu.mia
   
 16. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #16
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Hongera sana kwa hilo mkuu
  Wengi yametukuta hayo na unakuwa huna ujanja.
   
 17. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #17
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 2,986
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Labda kama alibakwa ndo unaweza kusema hakupenda, lakini aliyeanguka dhambini kwa hiari kama mimi, sikuona tatizo maana najua tunda halisi la kudo ni mimba, na hata ilipoingia nilifurahi na nilimshukuru Mungu kwa kunipa uwezo wa kuzaa..
   
 18. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #18
  Nov 10, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,679
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Yah. its shake well before use.
   
 19. Triple A

  Triple A JF-Expert Member

  #19
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 712
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hata wewe imetokea bahati mbaya?
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 180
  umeona eeh!
   
Loading...