Jihadhari na wanaume wa Kikongo/ Kizaire

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,833
Hawa wenzetu wanapenda sana vya bure, na kudandia wanawake wenye uwezo.

Ukiwa naye utamnunulia vipodozi, nguo tena hadi ndani, atakuomba na hela ya daladala na ya kula pia.

Unampendezesha wewe, anaenda kula raha na wanawake wengine, yaani hawaridhiki, sijui wana nini?

Haya yamemkuta mfanyakazi mwenzetu, alihonga hadi gari kwa mzaire. Mzaire muda wote yuko bize kwenye gari na mabinti wa Biafra sekondari
 
ndo mkome, umebaki ww.. Utaonga mpka nymba mnafkili wazaire wanatofaut gan na wamasai kwann mcwaonge hao ata baiskeli tu..
 
Kwanza mijitu yenyewe haitaki hata kufanya kazi

unataka kupendeza kazi akufanyie nani..........nyambafu zao

kazi kwao wanaoingia nao mkenge...mi hua nawaepuka kabisa
 
huyo dada nae alikuwa hajui? wazaire/ wacongo ni matapeli wa mapenzi.
 
Dada zetu wengi wlaliokuwa Ughaibuni wamelizwa sana.Wameachwa na madeni makubwa benk ,credit card na mikopo
kwenye maduka.
 
Kwanza mijitu yenyewe haitaki hata kufanya kazi

unataka kupendeza kazi akufanyie nani..........nyambafu zao

kazi kwao wanaoingia nao mkenge...mi hua nawaepuka kabisa

Kama kuna mcongo/mzaire au mwanamke yeyote anaetoka na hawa watu, alafu ameisoma hii comment, basi natumai huu ujumbe umemuingia vilivyo!!
 
Back
Top Bottom