Mabinti tabia hii imekaaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabinti tabia hii imekaaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jeff, Nov 11, 2011.

 1. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,217
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Yani unakuta demu umemtongoza tu hata wiki bado,mara anaanza kuomba vocha,mara hela ya kusuka,jamani yani ndio umenikubalia tu na hayo ndo yanaanza? Hii ikoje jamani?
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  wewe tunda hujaomba?
   
 3. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Muulize!
   
 4. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Sasa ulitaka upewe bure, usione vyaelea kaka, vimeundwa.
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Nyie wenyewe hata siku mbili hazipiti mnataka mambo ya kikubwa.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,255
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  samaki wakasirika
   
 7. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hawajakasirika... wanampa majibu. si ndio alikua anataka?
   
 8. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,978
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wewe kaka wapiga kelele za nini....wewe akikuomba epene nawe uluza swali la muhimu si ndio mchongo mzima ulivyo sasa.
  mwanaume unatoa hela mwanamke anakupa utamu wa tunda...no longolongo
   
 9. mtoto mpole

  mtoto mpole JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 679
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kwani lazima utoe...si unaombwa kuna kukubali na kukataa..
   
 10. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kataa usitoe...............hadi akupe tundi.
   
 11. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  hasara roho pesa makaratasi,mpe pesa huyo bibie,mwenzio mpaka simu nimempa,nimebaki na line. Nalog off
   
 12. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #12
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  tena wengine wanaanza kuomba hata kabla hujamkubalia kiukweli
   
 13. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Vocha tu mikelele hadi JF, je angemwambia ampeleke show room, si angezimia, we nini bana, we hujui chema chajiuza!?
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  kama unaona gharama usitongoze.....
  tena unaweza kukuta unam-text binti wa watu mara kumi kwa siku, unategemea aweke mawe kwenye simu ili aweze kukujibu sms zako?
   
 15. M

  Memyself n I Member

  #15
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  No money no honey....
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahahhaha
  pole dear
  ulitakaje?
   
 17. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Huu ni msemo wa mwaka! No money no honey, sio?
   
 18. sumasuma

  sumasuma JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  99% of women wanajiuza,some directly e.g ohio street,some indirectly kama hao wanaomba vocha,pesa za kusuka n.k, 1% kweli hawajiuz wana mapenz ya kweli, another 1% in 99% wanatumia migongo ya ulokole ,na kujifanya waislamu safi lakin wanafanya uhuni kupitia blanket za dini.
   
 19. M

  Memyself n I Member

  #19
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ni msemo wa mwaka! No money no honey, sio?


  Ndio kilichobakia hcho mwali n they have to keep in their minds .......
   
 20. la Jeneral

  la Jeneral JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  starehe gharama mdau,na ukitaka kula lazima uliweeeeeee
   
Loading...