Yamenikutaaa...Yamenikutaaa...yoo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yamenikutaaa...Yamenikutaaa...yoo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Greater thinker, Nov 11, 2011.

 1. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Jaman leo hii na mda huu ninaoandka hii thread ni kama dakika 20 hv zmepita nimetoka kukutana na mdada m1 hv hapa m.city cmjui wala hanijui nkamfuata na kupga nae story sana tu nkamchekesha sana tu na nini ..
  Sasa wakat 2nataka kuachana,nkamuomba namba yake ya simu,bac mazungumzo ye2 yakawa hv...
  GT ; sasa bishost ntoe contact zko kama vp...yoo
  JACK ; gimmie yours...
  GT ; 071......3 (Akawa anaisave kwny 4n yake)
  JACK ; sasa GT nipe ela ya vocha bac ya kukupgia at least Ten thousands....
  Hee hee sasa dada zangu hii tabia mmeanza ln?Achen hzo bhana.....yoo
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We unataka akupigie kwa credit yake kwa lipi haswa??
  Kam aunataka akutafute wakati hamna mpango wa maana muwezeshe!!
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145

  Kumbe umejichekelesha mwenyewe huna wa kumlaumu hata kama ungepigwa kirungu cha 100,000.00 si unataka uzuri sharti udhulike.
   
 4. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  ndo elfu kumi?..yoo
   
 5. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  sasa ultaka ni nune?me mtoto wa pwan wee...kucheka ndo zangu..yoo
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Lose the ''yoo''....sounds lame!!

  We ulitaka buku??
   
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Sasa usilalamike 10,000.00 unapiga mayowe kama mill. we vipi hujawahi kuhonga nini?
   
 8. b

  bia JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  number umeomba za nini sasa?c una wako,na bdo tena huyo mdada ni wa ukweli,alijua 2 dawa ya penda penda kama wewe
   
 9. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,131
  Likes Received: 3,320
  Trophy Points: 280
  Great thinker na wewe unaandika Ki' facebook siku hizi.
   
 10. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,105
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  umenifurahishaa sanaa mzee wa rula nimependaa jibu lako ulilompaa chaliii...ten thouuu,kelelee mingiii arifu,sawa sawaa na miatano ya keiiiiii.we ulitegemeaa zipii kama ulileta za kisharo brozoooo...etii yooo.
   
 11. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  sasa mkuu yan cku ya kwanz tu ananpga kilungu..afu kilungu chenyw hakina kchwa wala miguu...yoo
   
 12. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  me najua kuhonga tena sanaa...kilungu chake cha kjnga sana yan kanchukulia me mjinga na ataaonaa..yoo
   
 13. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  me co brozoo weee.,kwan kusema yoo n ubronzoo?kwa hyo NAS n sharobaro?...yoo
   
 14. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Amna mkuu imentokea kwel hii..ki facebuk ki vp yan?..yoo
   
 15. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,282
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  Lazima ulipie muda uliompotezea kukuchekea.
   
 16. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  duh mkuu wewe unategemea nini kwani isije ikawa katika story zako ulijipaisha ... na pia sehemu mlipokuwa inawezekana hakuna vocha za buku
   
 17. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama mlikua serious, kuanzia maneno mpaka lugha mlotumia!! Na hapo alikuwa anakutikisa tu, vipi ulimpa?
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Crap GT @ work
   
 19. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,648
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  Ukome..nyooo
   
 20. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Hawa masharobaro wa siku hizi utawaweza mkuu? Kichekesho tu na hizo swagga zao!!!
   
Loading...