Tumshukuru mungu kwa kila jambo,na tuache lawama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumshukuru mungu kwa kila jambo,na tuache lawama

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NEW NOEL, Dec 1, 2011.

 1. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Kama umeweza kuiona siku ya leo ukiwa na afya njema kwa nini usiseme asante kwa Mungu wako?
  Kuna watu ambao hawana uhakika wa kuendelea kuishi,yaani wamekata tamaa ya maisha. Lakini wewe unapojiona unao uzima na bado unaendelea kulalamika hakika hivyo si vyema.
  Leo hii Tanzania hakuna vita vya wenyewe kwa wenyewe. Je umeshapata nafasi ya kusimuliwa kwa yale yanayotokea huKOSomalia?
  241.jpg
  2011-07-28T174511Z_01_BTRE76R1DBI00_RTROPTP_2_SOMALIA-FAMINE.JPG
  TAFADHALI NDUGU TUSISAHAU KUMSHUKURU MUNGU KWA UZIMA TULIO NAO SISI NA FAMILIA ZETU NA TAIFA LETU. PIA TUWAOMBEE WALE WALIO KATIKA SHIDA MBALIMBALI NA KUWASAIDIA.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,269
  Likes Received: 22,030
  Trophy Points: 280
  Asante Mungu kwa afya njema uliyonipa
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Watu wanakula na kusaza wkt wengine hata mlo mmoja tu wanaupata kwenye ndoto.
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Asante Mungu kwa kuniamsha mzima mimi, familia yangu na marafiki zangu wa JF leo! Jina lako litukuzwe ee Mfalme!
   
 5. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Mi kupima naogopa nilipopita kubaya. Sana yani.kama kuwala nimewala mno hata nikipewa adhabu ya kuwakumbuka majina ndio nisamehewe dhambi siwezi kuwakumbuka nakama hii ndude ingekuwa kifutio cha penseli kingekuwa kimeisha.
   
 6. K

  Kamarada Senior Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ahsante MUNGU kwa kunipendelea na kunifanya niwe jinsi nilivyo!! Be blssd all...!
   
 7. M

  Malunde JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Asante ungu kwa kunipa maji ya kunywa, chakula, mavazi, sehemu ya kulala na afya njema. Umenijalia hayo mimi, mke wangu na watoto wangu. Asante kwa afya njema za marafiki na jirani zangu.
   
 8. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Nakushukuru mungu kwa uzima na afya njema uliyonijalia mapaka leo.
   
 9. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,059
  Likes Received: 6,506
  Trophy Points: 280
  "Nakushukuru MUNGU kwa uzima na afya njema uliyonijalia mpaka leo"
  by Cantalisia

  naungana na wewe dada>​
   
 10. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Haina neno, pamoja mama,
  Nilikumiss naona tunapishana tu humu ndani,hope kwa ujumbe huu u mzima wa afya!!
   
 11. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  amina....
   
 12. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #12
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Thank you GOD for everything you have done in my life.
   
 13. Possibles

  Possibles JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 557
  Trophy Points: 280
  Nakushukuru MUNGU kwa kunifinyanga utakavyo.Kwa kunipa yote uliyotaka niwe nayo.Kwa wazazi wema na werevu tena wanaokuabudu.Hakika wema wako hautajwi ukaisha.
   
 14. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #14
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Osho nndumi lulye shoonga ei andoimu na ewe mbi ekeekukundie mbora nyewe iruwa nde na muna na mumuuyo mweele,amen(kimachame jamani nimeombea chakula)namshukuru mungu kwa riziki hii,couse kuna wengine awana uwezo wa kuipata.
   
Loading...