Utafiti-internet yapunguza nguvu za uzazi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utafiti-internet yapunguza nguvu za uzazi.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by zubedayo_mchuzi, Dec 1, 2011.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  wanayasansi toka marekani na Argentina wamefanya utafiti na umeonyesha kuwa Mtandao wa internet kwenye komputa za mkononi"Wirele7 internet" kwenye laptop,Una madhara kwa viungo vya uzazi.
  Timu ya wanasayansi kutoka Taasisi ya Nascentis Center For Reproductive medicine iliyopo Cordoba,,Argentina kwa kushirikiana na wanasayansi wa Marekan wa Taasisi ya Eastern Virginia Medical school.

  Watakao athirika zaidi ni Wale wenye tabia za kuweka laptop kwenye Mapaja.
  Mbegu za Mwanaume huaribika kwa Electromagnet zinazotolewa na Wireles internet.
  Source. Kimataifa-uhuru
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Tobaaaaa...nimeanza kutumia Internet nikiwa nina miaka 7 kwahiyo hadi sasa hivi mie kwishney.
   
 3. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  Duh!!!!ama kweliiiiiiiiiiii
   
 4. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mpige mimba m2 utajua
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hahahaha! Zubeda nitarudi na majibu
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Una watoto wangapi?...lol
   
 7. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 997
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 60
  Mhh...kazi tunayo, kila kitu kina madhara!!! Lakini unadhani tutaishi milele???ukikwepa magonjwa, ajali zinatusubiri...tujisalimishe kwa mungu tuu!!
   
 8. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  akikisha mikoa yote una watoto,
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hata wa kusingiziwa sina...
   
 10. M

  Mandaz Member

  #10
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumekwisha tayari kila k2 ni sumu kwe2..aaaaa nimechoka!!
   
 11. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Umekwisha swahiba.... Anza mchakato kabla hali haijawa tete.
   
 12. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #12
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  walichukua mbegu za kiume za wanaume 29 wenye afya njema wenye umri kati ya miaka 26 mpaka 45,zilikusanywa na kugawanywa makundi mawili.
  Kundi moja la mbegu za kiume liliwekwa chini ya laptop inayotumia Wireless internet na jingine liliwekwa mbali na laptop zinazotumia wireles internet.

  Matokeo,Robo ya mbegu za kiume zilizokuwa chini ya laptop yenye Wireles internet ziliuliwa ndani ya Masaa machache.Vinasaba vya binadamu vya mbegu za kiume ziliharibiwa vibaya
  Kundi jingine zilizokuwa mbali na laptop hzo hazikuonyeshwa kupata na Madhara yoyote zaidi ya kupungua kidogo sana kwa kasi ya kuogelea.
   
 13. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Dr conrado avendano,alieongoza utafit huo alisema hawajui kama laptop zote zina madhara hayo.
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Swahiba nisaidie basi yaani unaniacha hivi hivi tu?
   
 15. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mmmm mimi tayari ninawatoto...Kwa wale hawana kazi kwako
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Dah! Kwahiyo mbegu zinahamia kwenye laptop...lol
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Dec 1, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Napenda sana kuzungumzia conclusive proof. Sasa tuone wale watu wenye kutegemea tafiti zisizo na ushahidi wa kutosha kuleta hitimisho kama wataacha kutumia kompyuta.
   
 18. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #18
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hizo mbegu za wazungu. Waje hapa bongo waone jinsi tulivyo ngangari kipande hiyo. Nyoooo!!
   
 19. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #19
  Dec 1, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kukuacha itakuwa ngumu swahiba, nacheki namna nzuri ya kukusaidia.
   
 20. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #20
  Dec 1, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahaha!
   
Loading...