Furaha ya bibi ni kuwa na bwana.................. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Furaha ya bibi ni kuwa na bwana..................

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, Nov 27, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Sex and the City's Carrie Bradshaw (Sarah Jessica Parker). Photograph: Henry Lamb/BEI / Rex Features


  [​IMG]


  furaha ya bibi ni kuwa na bwana ni ukweli wa kiasilia na wanawake ambao wamepingana nao huwa na wasifu ufuatao..............

  1) wako zaidi ya miaka 35.......

  2) wana elimu ya chuo...............

  3) wana ex-boyfriends kibao.....................

  4) mibadala yao ni pamoja na kuwa "single" au "come and stay"................

  5) hawajui kazi za nyumbani na hawapo tayari kujifunza kwa madai ya kuwa ni utumwa kwao........wanapendelea "housegirl" awatimilizie mapungufu hayo...........................mapishi ya kisaidizi tajwa siwajua ni mchemsho na mafuta na chumvi kibao...............haunogi hata chembe baada ya mwenye jiko kulipiga teke.................

  6) hawataki kuzaa zaidi ya watoto wawili..................hili ni jema........

  7) wanaumme wengi huwaogopa wasije wakawatawala...............

  8) wako tayari kuzaa na hata na mume wa mtu kwa visingizio ya kuwa walikuwa wanataka mtu wa kuzaa naye tu na wala siyo vinginevyo.....................................lol

  9) huchukia mfumo dume na kupambana nao kadri iwezekanavyo..........

  10) hunusa nusa mahusiano ya jinsia moja.............................just for the heck of it or remindig men they secretly adore that the are missing nothing........................while they really need a man in their bedrooms.........................

  hawa huwa hawana furaha maishani mwao kwa kupambana na asilia pia kwani furaha ya bibi ni kuwa na bwana...............
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
 3. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #3
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Lakini, wanadai wanaume wengi wanaogopa wanawake wasomi na ndio maana hawako kwenye nasafi nzuri ya kuolewa, ukilinganisha na wale wenye elimu ya kati, sababu kubwa ni wanaume kuogopa challenge....................
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kuna mmoja nilimuuliza humu kama haitaki ndoa akanijibu fasta kweli kwamba haitaki..
  Ngoja nisubiri nione kama atakuja kujibu haya makombora kama yanamsadifu ama la, hususani penye red..
  Nanihii, where are you? Lol.......
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,451
  Likes Received: 22,404
  Trophy Points: 280
  so what?
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  Mutambuzi uko sahihi kabisa..................lakini changamoto zao wengi twaona ni karaha tupu wakati wako wengi wanaoheshimu asilia..........
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  life goes on....................
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  anakaribishwa bila zengwe.................
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  kweli kesho yangu ni Mungu tu aijua............

  burudika na hiki kibao cha Doreen Otipo.......

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #10
  Nov 27, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Kuolewa ni option na wala sio lazima. Acheni kuzingua wenzenu kila mtu anachagua njia inayomfaa yeye na si ile waifuatayo wengi!!! Eti hawana furaha, hana huyo unaemfahamu wewe! Kwa uchanganuzi wako unadhani walioolewa ndo wana furaha kuliko wanawake wote? You must be joking dude!!!
   
 11. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #11
  Nov 27, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  I salute you for these words!! Nashukuru umethibitisha mwenyewe kuwa wenye matatizo sio wanawake ila nyie wenyewe wanaume ndo mnaogopa challenge....period!!! Kila nikijaribu kuipima akili yenu naona kama wote imeganda upande mmoja, mnawaza vya ajabu sana. Hivi challenge maana yake ni kutoiheshimu asilia?? Asante kwa ufafanuzi wa pili kuwa changamoto zao mwaziona ni kama karaha, hahahah while in real sense sio karaha. . . . . . .crap!!!
   
 12. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #12
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hizi sababu zako ni za juu juu sana..
  Umewahi kufikiria ya kwamba kuna wengine
  wali nyanyaswa (abused) wakiwa wadogo na hata
  ukubwani mfano
  Physical, mental, Emotional, & Sexual .. mfano wa
  watu awaliobakwa..

  Naomba ufikirie chambua kabla ya kupayuka..asante
   
 13. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #13
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mfano:winfrey oprah afu mwambie mwali wa kipemba hutabasam kila alishwapo urojo na kungumanga na si amwonapo nyakanka au somo..
   
 14. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #14
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Ndio maana Makungwi na Manyakanga wanawashauri, ili ndoa zenu zidumu, inabidi wanawake mjifanye wajinga........... Hebu niambie mwanamke aliyesoma sheria, kama kaolewa na mume mwenye ordinary education, unafikiri akitaka haki bin haki ndoa hiyo itadumu? kwa mume itatafsiriwa kwamba anataka kumtawala kwa sababu ya elimu yake............!
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Nov 27, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sio hata moja inayohusu kiukweli.

  Wanawake wangapi walioolewa wana elimu ya cheo na zaidi?

  Wangapi wana maX -boyfriend kibao (japo sijui hiyo kibao yako inamaanisha wangapi)?

  Wangapi walioolewa hawajui kazi za nyumbani na waume zao wanakuja hapa kulalamika kwamba dada wa kazi ndio wanaowafanyia kila kitu mpaka kufua nguo za ndani?

  Wangapi wanazaa hiyo zaidi ya wawili na hawalei wao wanawaachia kazi hiyo dada wa kazi?

  Wangapi wanazaa na waume za wenzao japo nao wana wakwao?

  Kuhusu kupambana na mfumo demu that has nothing to do with choosing the "single life style" rather than being married. Kuna wadada kibao wanaoangalia ndoa kwa jicho la tatu hawahitaji wala hawapendi kuwa na wafanyakazi wa nyumbani.Mapishi yao ni murua kuliko wanayokula baadhi ya waume za watu wanaopikiwa na wadada wa kazi au hata wake zao wenyewe.

  Hizo sababu zote hazina maana. . . swala la kutoshobokea ndoa ni waaaaay more personal than that. . . and it goes deeper. Sio eti mtu anafikiria mi sipendi kupika,kazi za ndani zinanishinda,sitaki watoto zaidi wawili, sipendi wanawake wanvyokandamizwa hivuo siaki kuolewa. Kwani ndoa maana yake ni hayo hapo juu?Kupika na kukandamizwa?
   
 16. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #16
  Nov 27, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Kujifanya mjinga once in a while sikatai lakini si kwa kila kitu bana, eti ifuatwe akili yenu tu.....NO!! So wataka kutuambia tuishi tu kwenye ndoa ili kuwafurahisha nyie tu sio?? Btw, sheria is a career na haihusiani na ndoa ya mtu, unless by subsequent reasons! Wanaweza kudumu au wasidumu inategemea na wao wenyewe na maelewano yao!!
   
 17. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #17
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Kwani wewe hujui kwamba kuna baadhi ya wanaume wana akili za kushikiwa!.............. Hata wewe mwenyewe ni shahidi wa yale yanayoulizwa na baadhi yao humu MMU..............
   
 18. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #18
  Nov 27, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  sio kweli FURAHA YA BIBI NI KUWA NA BABU.
   
 19. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #19
  Nov 27, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Hizo akili za kushikiwa yafaa kudeal nazo na si kuziendekeza!
   
 20. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #20
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,725
  Trophy Points: 280
  Maisha ni kupanga; na kupanga ni kuchagua. UJANA MAJI YA MOTO; Ukija shtuka yeshapoa siku nyingi.

  Ngoja wahusika waendelee kukujibu. Mimi nilishapanga na kuchagua.
   
Loading...