Mamamkwe ananichanganya

Rev J

Member
Sep 4, 2011
13
0
Nimeoa ninaishi na mke wangu,mama wa mke wangu amekuwa akimshinikiza mke wangu kuivunja ndoa yetu hadi ananipigia cm na kuanza kunifokea kisa eti tuligombana siku moja.Lakini mimi nimekuwa nikimwambia hakuna mteremko kwenye ndoa,pia namkumbusha kuwa ndoa yetu tulifunga kanisani sasa mbona unataka kuivunja na pia tulisuluhishwa na ndugu wa pande zote akiwepo na Mchungaji.Pia huyu mamamkwe imefikia hatua ya kuingilia maamuzi ya ndoa yetu kwa kuingilia mipangoyetu.Sasa najiuliza pengine anafanya hivyo kwa sab
 
Okaay...and then what?
 
kuchanganywa/kuingiliwa mambo ya ndoa na mamamkwe ni ishara ya udhaifu mkubwa mwanaume alionao
 
Anataka kumnadi mwanae kwa njemba nyngne! bila shaka mamkwe uyo ni wa mjin!
 
Nimeoa ninaishi na mke wangu,mama wa mke wangu amekuwa akimshinikiza mke wangu kuivunja ndoa yetu hadi ananipigia cm na kuanza kunifokea kisa eti tuligombana siku moja.Lakini mimi nimekuwa nikimwambia hakuna mteremko kwenye ndoa,pia namkumbusha kuwa ndoa yetu tulifunga kanisani sasa mbona unataka kuivunja na pia tulisuluhishwa na ndugu wa pande zote akiwepo na Mchungaji.Pia huyu mamamkwe imefikia hatua ya kuingilia maamuzi ya ndoa yetu kwa kuingilia mipangoyetu.Sasa najiuliza pengine anafanya hivyo kwa sab

tatizo lipo kwa mkeo, mama mkwe anajuaje mipango yenu? mliopanga mume na mke? kwa nini mipango yenu isiwe kati yako wewe na mkeo tu bila mtu wa 3 kujua? huna haja ya kupanic just ignore her, uzuri anakupigia simu, kama simu yako ina uwezo wa kumblock mblock tu heri nusu shari kuliko mama mkwe mshari
 
Pole sana Rev, ongea na mkeo kuhusiana na hilo suala la mamamkwe kuingilia ndoa yenu na umwambie ya kuwa hujapendezwa nalo. Pia msisitize ya kuwa maongezi/vitendo vyenu libaki siri kati yenu tu na sio hadi watu wengine wa nje wajue.

:A S 465:Kama una tabia ambazo hazipendi mkeo jaribu kujirekebisha kwani haipendezi wanandoa kusuluhishwa mara kwa mara, ipo siku ndugu au wachungaji watachoka kusuluhisha ndoa yenu. Mjaribu kujirekebisha kwenye kasoro zenu.:A S 465:
 
Ndoa ni kitu cha watu wawili...akiingilia mtu yeyote katikati, the whole thing becomes too crowded. Labda mzee mama mkwe ana mambo mengine anayotaka zaidi ya haya unayoyasema. Matatizo yenu ni madogo kiasi hicho? It does not sound well too me
 
Kwenu wewe umeoa mke au mama mkwe? Mueleweshe mkeo kuwa ndoa ni wewe na yeye, mama mkwe mpotezee!
 
kama mama mkwe analipalipa na yeye muombe maana inaonekana anatamani kutake over! mi jimama mingine hovyo sana na ina kera sana......
 
Pengine haujamalizia kutoa mahari ndo maana mkweo kawa mbogo.
Mama mkwe amekuja kutembea au ndio umeoa wote wawili? Kama vipi mrudishe kwake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom