Nini chanzo...

Magwero

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
243
75
Kwa kuwa hakuna mwenye majibu za moja kwa moja...!
Mim leo nakuja mbele ya wanajamii kuuliza..
Tena kila mtu kwa nafasi aliyonayo ndani ya jamii,yaani unaweza kuwa mzazi,mtoto au KIJANA...
VIJANA Ndiyo Aswaa...
Uwe wa KIKE au KIUME..
Kwanini Umeamua kuwa ma MAHUSIANO ya KIMAPENZI a.k.a KINGONO na zaidi ya msichana au mvulana mmoja...???

Ila kwa kuwa ni Ngumu sana mtu kuelezea hisia zake wazi,wazi..
2ambie basi hata sabasu ambazo rafiki yako wa karibu alikwambia zilimfanya awe na mpenz zaidi ya mmoja...
 
Tamaa ambayo ni mbaya.

hauwezi kutuambia zaidi juu ya tamaa mbaya jamani.. Na
kwa mtazamo wako,,
hii tabia zaidi zaidi ni kinadada au kinakaka..?i mean kuwa na zaidi ya mmoja..
 
hauwezi kutuambia zaidi juu ya tamaa mbaya jamani.. Na
kwa mtazamo wako,,
hii tabia zaidi zaidi ni kinadada au kinakaka..?i mean kuwa na zaidi ya mmoja..
Sasa nikwambie nini zaidi wakati TAMAA ndio inayowaongoza. Tamaa ya pesa, kimwili, sifa, kuuza majina, kukubalika n.k
Na hamna cha zaidi wote sawa tu.
 
ni tamaa tu mkuu hakuna kingine, wengine wanasema wanabadili mboga, eti maharae kila siku yanachosha.
 
ni tamaa tu mkuu hakuna kingine, wengine wanasema wanabadili mboga, eti maharage kila siku yanachosha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom