Miaka kadhaa nyuma, nilimpata binti mmoja wa kunifaa kwenye maisha nikaamua kufunga naye ndoa. Tukio hili lilitokea takriban miaka kumi na mbili iliyopita nyuma.
Harusi yetu, haikuwa ndogo kwa...
Hi everybody;
Naomba kum-vote Mh. Regia Mtema (RIP) kama mmojawapo wa wabunge waliokuwa wanaopendwa sana na jamii ya watanzania. Hii haimaanishi kuwa wabunge wetu wengine hatuwapendi, la hasha ila...
Ni takriban miezi miwili sasa mgogoro huu umekuwa ukifukuta chini kwa chini na sasa imefikia mahali humu ndani hapakaliki wala hapaliki, ilimradi tafrani kila kitu vululu vululu. Nimelinyamazia...
Hivi ni sahihi kweli ukamtapika mtu jana ukidai mapigo hayakujitosheleza au haniridhishi au sikuridhika naye.........halafu kesho ukadai umesikia hamu ya kulamba matapishi yako...
Yaan utakuta mwanaume kaangaika sana, kimaisha, wengine mpaka wanapata majeraha makubwa, au wananusurika na vifo wakiahangaikia maisha. mungu si athumani anawajalia hawa waangaikaji vijipesa...
jamani mm nina mchumba angu ambaye tuko karibu hatua za mwisho sasa alicho nifanya jana nashindwa huelewa niko njia panda....
ilikuwa ivi nilipiga sm usiku wa manane yaani saa 8 usiku bahati...
Wandungu habari zenu wote.
jamani kuna tabia nimekuwa nayo na ninaona inaniharibia mahusiano, either niachwe au huyo niliyenae anione kero.
ila wandugu niwaambieni, sio kupenda kwangu ni kwamba...
habari zenu wana jf natumaini wengi wenu hamjambo . jamani kuna msichana tuko naye course moja nampenda sana nataka awe mchumba wangu, leo tukiwa darasani niliamua kukaa naye karibu alivyoniona...
Wadau Habarini,
Niwatakie heri ya mwaka mpya, imekuwa kitambo kidogo taingia nitangaze nia, nikapata mchumba humu JF ambae tulifunga ndoa tarehe 15.10.2011; ndoa yetu ni ya furaha na kila mmoja...
Hivi utajisikiaje/utachukua uamuzi gani utakapogundua kwamba rafikiyo/shogayo amemnunulia mpenzio zawadi ya nguo za ndani chupi, chupi,skintight & bra katika siku yake ya kuzaliwa, halafu...
Ili kuboresha mahusiano kati ya wanawake na wanaume, na wanawake kwa wanawake wenzao;tukumbushane mambo gani ambayo wanawake hawapendi. 1, 2, 3, ........
Kwanza naanza kwa kuwaomba mnisamehe kwa kuleta hii kitu huku sababu najua huku sio mahala pake,ila nimelazimika kuileta huku nikitumai itakuwa rahisi kuonekana na wengi sbb nina shida sana na...
Wakuu JF.
Wanaume wenzangu tuziangalie hizi dalili 5 za mke aliyetoka kukusaliti..
1. Akirudi nyumbani hutumia dakika moja toka kusalimia hadi kwenda bafuni kuoga.
2. Mara nyingi mavazi...
Kwanza poleni na msiba wanajamii wenzangu.
Leo nina neno hapa linahitaji msaada wenu maana naona dada yangu naona anataka kutoa maamuzi magumu.
Ameolewa miaka karibia saba iliyopita na amekua...
Natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mume wangu
sifa zangu
mimi ni msichana, nina miaka 27 nina shahada ya pili ya sheria (masters) sm 180 urefu, 70KG UZITO , MWEUPE NATURAL SIO MKOROGO.
Na...
Jamani ndugu zangu ni mpenzi wangu ambaye tangia tuanze kujuana takriban miaka miwili sasa hajawa kuniomba kitu chochote hata vocha mpaka hvi sasa tunaplan ya kustart tht new life.na mimi mwenyewe...
Habari wana MMU.
Nilikujaga na thread mwaka jana ya Kabila la Wakurya kuwachagulia wenzi watoto wao, watu walinishambulia sana. Im sory kwa wale ambao waliona kuwa kabila lao halina hiyo tabia...
wale viumbe wanao jiuza usiku wamegundua style mpya. baada ya wateja wao kuwakimbia mala kwa mala, sasa hivi wameamua kuwaajiri wamasai. kama unashindwa kulipa wamasai wanakushughulikia kwa...
Wana wa Jamii haijapita hata wiki kabla hata mate yangu, hayajaanguka chini.
Nilishuka na Thread hapa iliyokua na headin' "HII NYUMBA INAKALIKA ? "
Ushauri niliokua nimeomba ni kumhusu Kaka...